Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu kama itakuoendeza naomba wimbo wa TOT Plus jina siujui eitha umasikini au dharau mashairi yake kuna sehemu wanasema "kuwadharau wengine eti kwa sababu wewe una nyumba nzuri na una gari zuri yote maisha....
Oooh nikaone tot lelo
Oooh nikaone tot lelo
Kitorondo kitorondo kamwambie siesie hata nikiwa mdogo baba yako ndio mie"
 
Pia naomba mwenye ile nyimbo ya uyole, Dar wanapenda sana kuupiga live band

"Wale waenda njia ya uyole kupitia chalinze mama"
 
Back
Top Bottom