Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
👇👇👇Waite polisi ya roho 7
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👇👇👇Waite polisi ya roho 7
Umetisha kka🖐️
Pamoja sana jembeUmetisha kka🖐️
Wa taifaaa...Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Asante sana nduguHuu hapa
enyaNatafuta wimbo flani hivi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Dah big up sana mwamba! Thanks ombi tena mkuu kama naweza pata album ya Stono musica "Chini ya ulinzi"Huu hapa. Enjoy
Baadhi hizi hapaDah big up sana mwamba! Thanks ombi tena mkuu kama naweza pata album ya Stono musica "Chini ya ulinzi"
Hebu usikilize huu kama ni wenyewe. Then lete feedback. Ila inaonesha jina la Msanii Fundi Konde, inawezekana alikuwa ni wa bendi hiyo husika.Mwenye wimbo wa Western Jazz,"Salami nimpe nani" anisaidie jamani nimejaribu kuutafuta bila mafanikio
Ndy mkuuHebu usikilize huu kama ni wenyewe. Then lete feedback. Ila inaonesha jina la Msanii Fundi Konde, inawezekana alikuwa ni wa bendi hiyo husika.
Ni wenyewe?Ndy mkuu