Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
BADO NIMESHINDWA KUPATA HIZI NYIMBO

1. band(hussen jumbe)- sarafina Umempata
2.band (hussen jumbe)- kachichi
3.band (hussen jumbe) - Nani kaiona kesho
 
Jamani mwenye nyimbo za african revolution tam tam mjomba njaa, shangingi la karne na zile za mchinga sound anisaidie
 
Wadau natafuta wimbo wa african revolution wana tam tam unaitwa mengi yamenikuta.....humo ndani kuna sonyo, badibakule.....
 
Mwenye wimbo wa Irene Sanga na Parapanda theatre art group, waliimba kwa ajili ya watu Makete kama skosei, na janga la maambukizi ya UKIMWI.
Nautafuta sana wimbo huu kama umeupata nitumie ndugu
 
Mkuu umetisha sana asante, ule wa Niamini wa Banana Zorro unaweza ukawa nao ? Huu ulio upload hapa unaitwa Wasiwasi
 
Tafadhali mwenye wimbo wa we r italo na rack me rack me wa rootman naomba
 
Back
Top Bottom