mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Sasa si ndo hivyo, mpaka upendwe😂 we tatizo lako kila mwanamke unaona ni fyonza damuHuwajui wanawake vizuri hehee, wanawake wanaotoa zawadi kwa ishara ya mapenzi ni wachache mno mshamba_hachekwi
Bando la internet... 😆 😆 😆Siku hizi kuna SMS za Mwezi Buku tu [emoji23], au bundle lipi hilo ?
Labda ubahatike sana, wanawake wa sahivi mwanaume ukisubiri upendwe, utashtuka miaka 40 hiyoo, huna mke wala mtoto, ni kujitoa ufahamu tu..kila asemacho mwambie sawa, mpe hela, mpe mimba, muoe, ishi naye ukifarijiana naye katika ujinga wake alio nao mshamba_hachekwisasa si ndo hivyo, mpaka upendwe😂 we tatizo lako kila mwanamke unaona ni fyonza damu
Kwa niaba ya wadada naomba kujibu hoja mheshimiwa.
Sie ni pesa pesa alfu pesa tena hayo mengine tutajinunulia maan nyie kuchagua mara nyingi hamjui.
[emoji4][emoji4][emoji4]
Bando la internet... [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Tuongee uhalisia, mwanamke wa kibongo binti (Miaka 18-25) ana kitu gani cha maana cha kunipa, najua binti hawezi nizawadia gari au nyumba hata kama anavyo, hivyo vimkanda, vi-perfume vyake vya laki 2 na visuruali vya elf 40, vitanisaidia nini kwenye maisha..vitu ambavyo hata mm naweza afford..🙄🙄🙄🙄🤦♀️
sawa🤐🙌🙌🙌Tuongee uhalisia, mwanamke wa kibongo binti (Miaka 18-25) ana kitu gani cha maana cha kunipa, najua binti hawezi nizawadia gari au nyumba hata kama anavyo, hivyo vimkanda, vi-perfume vyake vya laki 2 na visuruali vya elf 40, vitanisaidia nini kwenye maisha..vitu ambavyo hata mm naweza afford..
Si bora anipe makalio/tigo yake niyale nipate raha.. zawadi ndogondogo na kubwa k.v, gari, nyumba, nikivipata, itakuwa ni jukumu langu kumpa yeye..
Kama mwanaume ukitegemea karne hii mwanamke akuoneshe upendo kwa kukupa zawadi, utapata tabu sana, wanawake wenyewe mdo hawahawa ukimtongoza leo kesho ana kuomba hadi vocha, akili ya kukupa walau zawadi ya moca, wataitoa wapi Leejay49