Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

sasa si ndo hivyo, mpaka upendwe😂 we tatizo lako kila mwanamke unaona ni fyonza damu
Labda ubahatike sana, wanawake wa sahivi mwanaume ukisubiri upendwe, utashtuka miaka 40 hiyoo, huna mke wala mtoto, ni kujitoa ufahamu tu..kila asemacho mwambie sawa, mpe hela, mpe mimba, muoe, ishi naye ukifarijiana naye katika ujinga wake alio nao mshamba_hachekwi
 
Kwa niaba ya wadada naomba kujibu hoja mheshimiwa.
Sie ni pesa pesa alfu pesa tena hayo mengine tutajinunulia maan nyie kuchagua mara nyingi hamjui.
[emoji4][emoji4][emoji4]

Umemsikia huyu mheshimiwa kasema pesa pesa na pesa tena na tena, [mention]Leejay49 [/mention] ndio maana sie upande mwingine tunatakaga Kuvunja kibox bustan tu [emoji1787]
 
🙄🙄🙄🙄🤦‍♀️
Tuongee uhalisia, mwanamke wa kibongo binti (Miaka 18-25) ana kitu gani cha maana cha kunipa, najua binti hawezi nizawadia gari au nyumba hata kama anavyo, hivyo vimkanda, vi-perfume vyake vya laki 2 na visuruali vya elf 40, vitanisaidia nini kwenye maisha..vitu ambavyo hata mm naweza afford..

Si bora anipe makalio/tigo yake niyale nipate raha.. zawadi ndogondogo na kubwa k.v, gari, nyumba, nikivipata, itakuwa ni jukumu langu kumpa yeye..

Kama mwanaume ukitegemea karne hii mwanamke akuoneshe upendo kwa kukupa zawadi, utapata tabu sana, wanawake wenyewe mdo hawahawa ukimtongoza leo kesho ana kuomba hadi vocha, akili ya kukupa walau zawadi ya moca, wataitoa wapi Leejay49
 
sawa🤐🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom