Naomba jina la hicho kituo cha kisaraweUhitaji unatofautiana jamani, mjitahidi sana kufanya charities mjionee, kuna vituo mfano dogo dogo center wale wako mbali sana, ufadhili wao ni mkubwa, watoto wanaishi kishua.... kuna kituo kipo Kisarawe ukifika tu chozi litakutoka mazingira ya pale hadi watoto wanakuomba uwachukue, nawapenda walivyo na upendo na ukarimu tho [emoji847][emoji3059]..... so yupo sahihi kuulizia hivyo
Sasa huo utakuwa ni "ukafiri", ingawa ni kweli watu wa aina hiyo wapo pia.Na sijasema mpaka ujitosholeze. Kwa taarifa yako kujitosheleza ni neno relative na kuna watu wanaweza wasijitosheleze kamwe. Nimesema wale ambao hawakumbuki kabisa walio karibu na kuzingatia walio mbali. Watu wa aina hii wako. Unakuta mtu wazazi wake au ndugu zake wako hohehahe lakini hana habari nao na badala yake anaonekana kwenye social media akisaidia watu wa mbali.
Kuna wengine wana njaa nafsini mwao ambayo haitoshelezwi na kitu chochote isipokuwa "upendo".Uhitaji unatofautiana jamani, mjitahidi sana kufanya charities mjionee, kuna vituo mfano dogo dogo center wale wako mbali sana, ufadhili wao ni mkubwa, watoto wanaishi kishua.... kuna kituo kipo Kisarawe ukifika tu chozi litakutoka mazingira ya pale hadi watoto wanakuomba uwachukue, nawapenda walivyo na upendo na ukarimu tho [emoji847][emoji3059]..... so yupo sahihi kuulizia hivyo
Mkuu unanikosea sana. Ni kwa nini uniwazie hivi? Hapa JF ni wangapi nimekutana nao na kufanya nao kazi? Kama upo Dar katibu DM ili siku hiyo twende woote sehemu husika.Huyu jamaa kuna fursa anataka kuitumia kupitia kituo hicho ,kama una uwezo wa kuwasaidia bila kuwa na manufaa yako binafsi sidhani kama unashindwa kujua pakusaidia bila kuomba huku,wewe huna tofauti na wale "tuma kwa namba hii"
Mawasiliano na location ya kilipo tafadhali. Naweza nisifike mimi lakini mwingine akahitaji kufikaUhitaji unatofautiana jamani, mjitahidi sana kufanya charities mjionee, kuna vituo mfano dogo dogo center wale wako mbali sana, ufadhili wao ni mkubwa, watoto wanaishi kishua.... kuna kituo kipo Kisarawe ukifika tu chozi litakutoka mazingira ya pale hadi watoto wanakuomba uwachukue, nawapenda walivyo na upendo na ukarimu tho [emoji847][emoji3059]..... so yupo sahihi kuulizia hivyo
Hakika mkuu, umenena sahihi sana. Watu wamekua wakizungumza kuwa kuna vituo ni makanjanja na ndio hasa sababu ya kuja humu ili nipate taarifa sahihi kwani huku wajuzi wa mambo ni wengiUnahisi anataka aombe michango ya kununulia vitu vya kuepaelekea watoto wahitaji?
Mimi sidhani kama hiyo ndiyo nia yake. Shauku yake ni kupata mahali sahihi pa kuupeleka msaada uliopatikana. Si unajua JF ni mahali unakoweza kupata taarifa sahihi? Naamini ndicho kilichomvutia mdau kuuleta Uzi wake humu. Anajua atapata taarifa zisizoghushiwa.
Wazo Zuri Sana mkuu..Anza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begin at home.
Wazo Zuri Sana mkuu..
Kwani 99% ya vituo vya kulea watoto yatima ni wapigaji..
99% wamefungua vituo kwa ajili ya maslahi yao binafsi...
99% ni wapigaji? Mkuu una uhakika na usemalo? Unataka uniambie Serikali imelala kiasi hicho?Wazo Zuri Sana mkuu..
Kwani 99% ya vituo vya kulea watoto yatima ni wapigaji..
99% wamefungua vituo kwa ajili ya maslahi yao binafsi...
Na wewe umejuaje hayo wakati hajatueleza hali ya familia na nduguze?Hayo ni mawazo yako kama vile alivyotoa mawazo yake.Mawazo ya kila mmoja yaheshimiwe.Kwani unajuaje hali ya mtu na familia yake mpaka umshauri aisaidie kwanza familia yake.
Kuna wengine wameumbwa matajiri wao, Vizazi vyao na kila kitu kiwahusucho.
Mkuu, mama msimamizi ndiye mmiliki wa kituo au ni mfanyakazi?Hongera sana mkuu, nilikua na huu Utaratibu kituo fulani huko moshi , nilikua nanua nguo za watoto kila baada ya miezi 6 nawaletea kuja kusikia mama mzimamizi wa hao watoto kafungua soko la nguo za watoto huko meimoria nilichoka.
Hawezi kukuelewa na hawezi kukuelewa kamweAnza na ndugu zako na wanaokuzunguka wenye mahitaji.
Charity begin at home.
Choka tenaHongera sana mkuu, nilikua na huu Utaratibu kituo fulani huko moshi , nilikua nanua nguo za watoto kila baada ya miezi 6 nawaletea kuja kusikia mama mzimamizi wa hao watoto kafungua soko la nguo za watoto huko meimoria nilichoka.
Sidhani kama wana ubaguzi huo. Wanaweza wakawa hawahitaji taratibu za Kikristo kituoni kwao, lakini hawawezi kuvikataa vitu vinavyotolewa na Wakristo kwa ajili ya watoto.Kwahiyo wakristo hapo hawahitajiki, hakifai hicho.
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Ndio maanake....yaani Kituo kinakuwaje na haki mbaya ,ilhai matakwa ya Kisheria ni uwe na uwezo?Ni kwakuwa vituo vingine vya watoto yatima ni vya mchongo...
Hawa mradi wao ni wa kitambo na wasimamizi wao wamesimama haswa kuangalia michongo kutoka kwa wafadhiri wa nje, kuna kipindi walikua wanafanya vipindi vya watoto wakaacha mpaka wakawa wanafunga nyimbo za watoto kwa hio sio was kuwafananisha na vituo vingine vinavyochipukia in short vituo ni mradi sio matoleo au kujitolea na mradi wowote unakua na proposal plus business planmfano dogo dogo center wale wako mbali sana
Mkuu peleka Msaada wako Kituo Cha Seiiali Kurasini ,huki Intergrity ni 100% v.Vituo vingine ni vile wmaolea Watoto Wachanga....0_6month ..wale watu wanahitaji materials na moral support Si Mchezo!Hivi ni kama vile Msimbazi na Mburahati.Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya kawaida.
Kituo kiwepo Dar es salaam na nitaomba kama utaweza unisaidie mahali hasa kinapopatikana na mawasiliano ya namna ya kufika.
Asante.
Mkuu sio.kweli Kuna wtu wanasaidia Kwa Moyo!Ukiona mbongo anatoa msaada jua yeye anapata Mara mbili yake za msaada anaotoa
Hauwezi elewa hizi Mambo ....
Kwani hicho kituo kina ukuta mrefu kama wa Magereza?Kuna kimoja kipo Madale mama wa kihaya alitoa wakfu nyumba yake kwamba akifa iwe center ya yatima.
Na kweli kituo kinapata sana watu wa kusaidia. Changamoto inakuja kuna sista wa katoliki pale ana roho mbaya sana anawatesa watoto na kuwanyima chakula. Wale watoto wana maisha magumu sana.
Mkuu, unamaanisha nini hasa?Ndio maanake....yaani Kituo kinakuwaje na haki mbaya ,ilhai matakwa ya Kisheria ni uwe na uwezo?