Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Ndio maana unafukuaga makaburi ya watu humu....kumbe unakuwaga bored πŸ˜‚

Enwei,tafuta mahusiano....miaka zaidi ya 35 unaishije peke yako?
Udomo zege tatizo ila ngoja nione itakavyokuwa!
 
BTW. Yule Secretary Posta anaweza kukupunguzia upweke. Tambua nasema kukupunguzia
Yule ni mzuri sana ataniumiza tu huko mbeleni hata nikingia naye kwenye mahusiano!
 
Wala hata mkuu it's more deep
Utawadanganya wote siyo mimi ...tatizo lako linausiana na kushindwa kuwa na mwanamke ..pia ndani yake nguvu lazima ziwe pungufu ...usipo sex na wanawake kwamuda mrefu pia kunazidisha kupoteza nguvu za kiume ..kwa ujumla lifestyle inachangia kuua nguvu za kiume
 
Wewe si kataa ndoa wewe? Baki humo humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…