Nifanyeje? Upweke unatafuna moyo wangu vibaya mno

Asante mkuu
 
Sina familia ila uzoefu uliopo sikuzote haijalishi wanawake ni mara ngapi wanatuumiza na kutuuzi ila wana sehemu yao katika maisha ya kila mwanaume mwenyewe akili timamu. Hilo ndo jukumu umelikimbia ndio maana
Kweli kabisa
 
Anhaaa! wewe umekuwa ukinitag sana kwenye nyuzi za Miss Natafuta na unafukunyua mpk nyuzi zake za miaka hiyo!. kumbe wewe kuna vitu vinakusokota!, sasa mkuu nami leo niambie kwenye nyuzi zako niwe namtag nani ili azione...?πŸ˜‚

ila pole japo sio sana maana mwanaume unatakiwa kukomaa mpk ukome na ukomae!.
 
Hahaha uwe unamtag ledada maana ni crush wangu πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sema unatafuta matatizo mapya sio demu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…