Inasemekana wamechomana kwenye WhatsApp group. Kulikuwa na watu wa serikalini.Hivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana
Fear women, huwezi amini uliyeandika hapa ni mwanamke mwenzie.. 😀Safi sana! Eeh mungu naomba waozee segerea..huku uraiani hatuwataki🚮
Hii sasa itajulikana kama #MD9December 9, tukutane Tena Hawa sio wakuwachekea kabisa
Umewahi kuwekwa mahabusu?Mbona wote wanashuka kwenye hilo Basi bila kua hata na viatu? Wote wako peku! Au ndio kanuni ya Magereza iko hivyo?
Posters sasa zianze kuandaliwa tusukume hashtag jambo liende mjiniHii sasa itajulikana kama #MD9
Ukimaliza kuwaombea mabaya, unashika udhu na una swali! Audhubillahi mina shweitan rajeeeeem.Safi sana! Eeh mungu naomba waozee segerea..huku uraiani hatuwataki🚮
Hamkomi?Hii sasa itajulikana kama #MD9
Kama huna jibu piga kimya,acha maswali yakichoko,Umewahi kuwekwa mahabusu?
Ile narrative inazidi kuangukia pua.Hawa ndiyo wageni kutoka nje, watazameni vizuri muonekano wao
Dogo alijisahau sana,au ndo pesa zinalevyaUjinga umemponza. Aliyoa tangazo Kwenye social media ya kuwa anauza barakoa ambazo ziko.suitable Kwa maandamano, zinaficha uso na zinafanya usipate athari ya mabomu. Na Kwa upofu zaidi alianzisha WhatsApp group kuratibu biashara yake huku hajui ya kuwa miongoni mwan group member ambao aliwa recruit wamo watu wa idara Maalim.
Cc Busu la KengeNimeshimdwa kupata tafsiri sahihi ya uhaini.
Kama tafsri ya uhaini ndio iko hivi basi 90% ya watanzania ni wahaini.
Sina la kuongeza hapo.
Walikuwa na group kwenye WhatsApp na ndani ya group hilo kulikuwa na wataalam. Wamewachoma wote na wamesemana wote.Hivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana
Ni hatari sana kuongea issue sensitive kwenye WhatsApp group ikiwa pengine hata huwajui watu waliomo na wewe ndani ya hilo grp,Walikuwa na group kwenye WhatsApp na ndani ya group hilo kulikuwa na wataalam. Wamewachoma wote na wamesemana wote.