Mkuu Niffer alihamasisha hayo kwenye magroup yao ya whatsapp watu wakaruka na screenshot kwa Mafwele. Ni zaidi ya yale uliyoyaona kwa TV! Namuonea huruma sana huyu msichana pengine kwaajili ya umri ndo maana!!!!Kwahiyo kuhamasisha watu wanunue barakoa ni uhaini? Basi wanaouza vilipuzi, silaha za jadi na bastola ni waahini pia maana wanahamasisha watu kuua
Mpumbavu na mshenzi huyo mtoto!! Alitafuta sifa kwa nguvu sana na umaarufu bila kujua wanaomtumia watakua wamwisho kuumia!! Nililiona anguko la Niffer kitambo sana maana hakua na utulivu wa akili wala nafsi! Inawezekana pia ana ukichaa!!Dogo alijisahau sana,au ndo pesa zinalevya
Wasijali maana 9.12.2025 yaani Tisa December tutawatoa. Yaani tutaingia mpaka ikuli siku hiyo. Kazikazi, lazima tupate uhuru wa kweliNimeona stakabadhi za mahakama Niffer na wengine 97 washtakiwa kwa kosa la kula njama (conspiracy to commit offence) pamoja na kosa la UHAINI.
=========
Kutokana Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Ijumaa Novemba 07.2025, Mfanyabiahara Jenifer Jovin (Niffer) na wenzake 97 wamesomewa mashtaka matatu (3) ya uhaini
Kosa la kwanza linalowahusu washtakiwa wote 22 ambapo ni kwamba kwa pamoja wamekula njama ya kutenda kosa au kupanga uhalifu ambao ni uhaini
Kosa la pili ambalo ni la uhaini linawahusu washtakiwa 97 isipokuwa mshtakiwa mmoja pekee ambaye ni Niffer, ambapo washtakiwa walianzisha nia ya kuzuia uchaguzi Mkuu 2025, na kutishia mamlaka na wakatekeleza nia hiyo kwa kufanya vurugu zilisababisha uharibifu wa mali za umma,
Na kosa la tatu la uhaini pia linamuhusu mshtakiwa namba moja pekee ambaye ni Niffer, ambapo alihamasisha watu kuvuruga uchaguzi Mkuu 2025 na kuhamasisha umma kununua barakoa za kuzuia mabomu ya machozi kutoka dukani kwake.
View attachment 3498536
Orodha nyingine:
View attachment 3498542
View attachment 3498540
View attachment 3498537
Mashtaka yameambatanishwa chini:
Uwe na akiba ya maneno pamoja hisia zako. Kila neno unalomsemea mwenzako jiweke nafsi yako kwanza. Kukaa kimnya nako ni busara. Ni hayo tuMpumbavu na mshenzi huyo mtoto!! Alitafuta sifa kwa nguvu sana na umaarufu bila kujua wanaomtumia watakua wamwisho kuumia!! Nililiona anguko la Niffer kitambo sana maana hakua na utulivu wa akili wala nafsi! Inawezekana pia ana ukichaa!!
Wavurugwe wao"Walisema msimamo huu unaashiria uasi....., ni kweli, kwa sababu tunasema tutazuia uchaguzi, tutahamasisha uasi.... hiyo ndiyo namna ya kupata mabadiliko, kwa hiyo tunaenda kukinukisha, sanasana huu uchaguzi tunaenda kuuvuruga kwelikweli, tunaenda kukinukisha vibaya"
Sahivi awape na mbinu za kukaa jelaUjinga umemponza. Aliyoa tangazo Kwenye social media ya kuwa anauza barakoa ambazo ziko.suitable Kwa maandamano, zinaficha uso na zinafanya usipate athari ya mabomu. Na Kwa upofu zaidi alianzisha WhatsApp group kuratibu biashara yake huku hajui ya kuwa miongoni mwan group member ambao aliwa recruit wamo watu wa idara Maalim.
Mkuu lini utakuja kuwa rais ukomeshe huu upuzi? Yani kila kukicha unazidi tu na huoneshi dailies ya kupungua.Sio rahisi hivyo ukiangalia wateja wake wengi wako Tanzania
Na unajua atachukua mda gani kukaa mahabusu anaweza akaa mahabusu mpaka kutoka biashara zake zimefilisika zote na itambidi aanze upya
Hahaha GT, naona idugunde the witch siku hizi kabadilika.
waijenge nchi kwanafasi gani wanazopewa?Mimi nazidi kuwaasa vijana!
Msichokoze serikali,
Serikali ina mkono mrefu sanaa,
Hao huko Mtandaoni wanawashawishi mfanye vurugu ila hawapo wapo uko kwa mabwana zao,sasa nyie mtapoteza familia zenu zibaki zinawalilia!
Vijana jengeni nchi yenu acheni vurugu!
Mwenye masikio na asikie.!!
Shida nayoiona, kuhamasisha maandano kitu kimoja ila kwa kilichotokea kwenye maandamano yaani uharibifu na mauaji, they could indeed fall into that convinction.Ujinga umemponza. Aliyoa tangazo Kwenye social media ya kuwa anauza barakoa ambazo ziko.suitable Kwa maandamano, zinaficha uso na zinafanya usipate athari ya mabomu. Na Kwa upofu zaidi alianzisha WhatsApp group kuratibu biashara yake huku hajui ya kuwa miongoni mwan group member ambao aliwa recruit wamo watu wa idara Maalim.
utakufa vibaya sana wewe shetani.mdomo utauwacha wazi huo shauriyakoWavurugwe wao
Kabisa mkuu Hawa wanatuona *******December 9, tukutane Tena Hawa sio wakuwachekea kabisa
Hakuna mzee ni hako ka video pekee ndo wameamua wamtese gerezaniHivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana
Hahaha GT, naona idugunde the witch siku hizi kabadilika.
Alikua anamiliki kundi la whatsapp la uhamasishaji Rafiki ake mmoja akamchomaHivi kuna kingine alichofanya huyu binti zaidi ya ile video ya challenge? Nimemuonea huruma sana