Leo umeona jumapili unataka kupunguza Sadaka za watu awa kondooo walishasaau kile kipigo😅😅😅Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Iran wastaarabu hawapendi ugomvi shida ipo kwa hawa viherehere wa kuanzisha uchokoziIla binafsi naona Iran hawakupaswa kusitisha ile vita, wangeendelea kama siku 2.. maana mchokozi ni Israel..
Kwa kweli ilikuwa ni aibu kuu kwa US na Israel..
🤣 Hakisahauliki kile . Israel sijui kama Kuna siku atakuja kujaribu kuichokoza Tena Iran.Leo umeona jumapili unataka kupunguza Sadaka za watu awa kondooo walishasaau kile kipigo😅😅😅
Imagine ile vita israel angekua anaenda kushinda asingekubali ceasefire 😀,hali ilishakua tete,pamoja na mashushushu wao ila inavyoonyesha iran technology ya missiles zake aliificha sana,now west watajitahidi kwa miaka kuchunguza zile kombora madhaifu yake,wakishajua wataanzisha tena utata 😀Aliyeomba vita isitishwe ndio alioumia . Simple logic 🤣
Juzi kati neta alipotoka usa,alijipanga kimya kimya kuishambulia iran,russia wakaitahadharisha muda wwt watashambuliwa🤣 Hakisahauliki kile . Israel sijui kama Kuna siku atakuja kujaribu kuichokoza Tena Iran.
Kwaiyo mwamba kajibu bado yeye akupe iyo kimbo ya komon naww ulewe chakali upunguze maumivu ya Iran 🤣🤣Amejibu ila naona anarukaruka tuu, kwanza Israel walipita na rohoni ya rais wa Iran 😂 mpaka leo Iran hawajafanya comeback yoyote
Israel walikuwa na guarantee US ataingilia mzima mzima, lakini muamko wa watu ulikuwa tofauti kipindi hiki, raia wengi US, veterans, viongozi walikuwa wanakataa kutuma vijana wao wakafe kisa upumbavu wa mtu mmoja anaitwa Netanyahu....Iran wastaarabu hawapendi ugomvi shida ipo kwa hawa viherehere wa kuanzisha uchokozi
Hawezi kuthubutu kuigusa Iran Tena anajua matokeo yake yatakua mabaya sana. Kitu asichopenda Israel ni kupigwa direct.Juzi kati neta alipotoka usa,alijipanga kimya kimya kuishambulia iran,russia wakaitahadharisha muda wwt watashambuliwa
Hata Iran haikurusha hata jiwe ndani ya Israel, maana iron dome ilikuwa makini kudaka hata nzi..Unaambiwa Israel hakufanikiwa kupiga hata bomu moja Iran!
Huo mzozo haukuwa na vilio hivyo kwakweli sikuvisikia walikutana wakubwa kila mtu alilia kivyake.
Population ya Iran na Israel zinafanana ?Wakubwa wakati upande mmoja unapata vigo vya watu 600, na upande mwingine watu 38!!
Kuamini kuwa hao wawili wanalingana, kichwani ni lazima uwe mtupukabisa.
Iran says at least 1,060 people were killed in war with Israel.
Iran's government has issued a new death toll for its war with Israel, saying at least 1,060 people were killed and warning that the figure could rise.
Saeed Ohadi, the head of Iran's Foundation of Martyrs and Veterans Affairs, gave the figure in an interview aired by Iranian state television late Monday (July 7, 2025).
Israel reported that Iranian strikes killed 28 Israeli civilians and one off-duty soldier, and caused 3,238 hospitalized injuries.