Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Tuwekee na waisraeli waliopotezwa otherwise utumbie Iranians bombs fell at the open areas as usually business 🀣.
Mimi nimekuwekea Makamanda waandamizi wa Jeshi la Iran waliouwawa kipumbavu na majeshi ya Israel. Na tena nikakuwekea na wanasayansi wa nuclear zaidi ya 60 waliouwawa.

Kinachonifanya nicheka kila wakati hata Majeshi ya Iran yalipojaribu kujitutumua haya kuweza hata kuua hata askari mmoja wa Israel matokeo yake walianza kurusha Makombola yao kwenye maeneo ya kiraia ndiko walio ua raia wasio na hatia na kuharibu makazi yao lakini hawakuwa za kuua hata Mwanajeshi yeyote wa Israel hicho kitu kinanichekesha sana kwenye hii vita ya siku 12 ambayo Majeshi ya Iran yaligaragazwa mchana kweupe na Jeshi hodari la Israel(IDF)
 
Israel anaweza kupigana na wanawake na watoto na wazee na vijana wasio na silaha. Ndio mana unaona Gaza hakuna ceasefire ila walipenda Iran wao wenyewe ndio walioomba ceasefire baada ya kichapo cha mbwa mwitu
 
Hii inaonyesha wazi Jeshi la Iran ni Utopolo kwa kuuliwa kijinga Makamanda wake!! Hapa hakuna jeshi!!!
Kitu ambacho wewe haukijui ni kuwa kuingia katika nchi ya mwenzako na kuwavizia viongozi wakiwa katika maofisi Yao na kuwalipua huo ni Ugaidi

Hicho kitu Iran hawezi kufanya Kwa sababu ni ugaidi Sheria za kimataifa haziruhusu na Wala Sheria za dini haziruhusu kumuua mtu ambaye hayupo katika uwanja wa vita

Na ndio maana Irani aliichapa Israel anavyotaka Kwa sababu tayari Israel ilionekana ndio mgomvi Kwa kufanya ugaidi nchi ya Iran
 
Una uhakika hawakuua mwanajeshi yoyote? Kapimwe akili nilileta mpaka picha humu Iran hafichi nyie mnaficha hizo ni level mbili tofauti balaa lililofanyika makao makuu ya Mossad na pale hospital tupeniajibu yake na huko makambini, hakuna jengo la raia Hata Moja jengo alilopiga la raia.

Kama IDF hawakutaget raia iweje raia zaidi ya 600 wa Iran nani amewaua?
 
Israel alidhani hagusiki na nafasi aliyoipata hatakaa aipate tena ndo imeenda hivyo kumbuka hayo maandaliza yamefanyika kwa gharama kubwa sana kwa ufadhili wa usa.. ili ameishia kwa aibu sasa
 
Anayetaka Israel ifutwe na uwezo unaosema inao wote ule halafu ikubali kusitisha vita kirahisi vile huku viongozi wameuliwa?mi nachojua baada ya shambilizi la B2 ndo angekiwasha zaidi.
 
Huyo dogo haelewi vita na mashambulio ya kigaidi tofauti yake ni ni Ipi? Ni sawa na zelensky alivyo penetrate Urusi na drones Kwenye zile trucks na kulipua ndani ya Urusi shambulio la namna hio uwaga Yana angukia katika kitendo Cha kijasusi na sio jeshi Moja Kwa moja Tena Hata majeshi wakati mwingine wanakua hawana habari
 
Israel alidhani hagusiki na nafasi aliyoipata hatakaa aipate tena ndo imeenda hivyo kumbuka hayo maandaliza yamefanyika kwa gharama kubwa sana kwa ufadhili wa usa.. ili ameishia kwa aibu sasa
Kati ya Iran na Israel nani kaguswa?
 
Hii vita ya siku 12 ilianza tarehe ngapi ikaisha lini, na ni mwaka gani?
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizi habari Waisrael wa tandale Kwa mtogole Huwa hawataki kuzisikia kabisa
 
Hii nafasi israel wametumia muda mwingin na gharam kubwa sana kuiandaa na hawatakuja tena kuipata tena ndo wamechezea sh chooni israel akae tu kwa kutulia akimuona iran ampigie salute hiyo ndo imetoka hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…