Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda yeye ndio mtoaji[emoji87]
Kumbe mambo ni moto hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda yeye ndio mtoaji[emoji87]
Aaaah!! Haya mambo huanziaga mbali sana ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mambo ni moto hapa
Tuliosoma Cuba ndio tunaelewa kwa undaniAaaah!! Haya mambo huanziaga mbali sana ujue[emoji23][emoji23]
Niitwe mtowaji au mtiwaji potelea pote....mimi natoa yaliyoko moyoni sitaki kuwa mnafiki[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe mambo ni moto hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa.Tuliosoma Cuba ndio tunaelewa kwa undani
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona umenijibu mimi [emoji38]
Labda ulikuwa na mtazamo wa kupewa kitumbua?Hata mimi nilikuwa kama wewe tatizo lilianzia pale kuonekana boya
Ila uko sahihi.Niitwe mtowaji au mtiwaji potelea pote....mimi natoa yaliyoko moyoni sitaki kuwa mnafiki
Ikiwa huna mtazamo wa kingono hautaumia.Hata mimi nilikuwa kama wewe tatizo lilianzia pale kuonekana boya
Kula like mkuuIla uko sahihi.
Ni wazi kwamba ukimsaidi mwanamke umesaidia MTU, ila ukisaidia mwanaume umesaidia WATU.
Watasema labda weweshogaHii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine..yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike, yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata kidogo na hii nahisi imesababishwa na mazingira niliyopitia yaani unamsaidia mwanamke ukigeuka tu huku nyuma anakung'ong'a na kukucheka wengine hufikia kukuona fara au mshamba kwakweli hii hali imeniathiri kisaikorojia yaani kumpa mwanamke msaada nafsi yangu inakuwa nzito sana.....juzi kuna dada ameniomba elfu thelathini ya matibabu nimemnyima na badala ya kujutia kitendo changu naona nafsi yangu inafarijika na kufurahi 🤔🤔.
Aunte yangu hawatusumbui tumeshawazoea ujueHalafu auntie wanaanzaga hivi hivi. Kesho na keshokutwa unakutana na id mpya title "confession"
Mbona ni kama unacheka huku unalia?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hujaelewa kumbe.
Sawa wasaidie tu, kwani kuna mahali umelazimishwa kuwa ni lazima usaidie wanawake?