Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

Nikimpa msaada mwanaume mwenzangu nafsi yangu huwa inaridhika na kufurahi tofauti kama nikimsaidia mwanamke

Una tatizo la kisaikolojia kulingana na uliyopitia na huenda yamekufundisha kitu na kukusaidia kufika ulipo mpaka unafuatwa na watu uwape msaada.
Kwa wakristo tuna msemo unasema KWA ALIYEPEWA KINGI , KINGI KITAHITAJIKA KUTOKA KWAKE (for whoever is given more more will be required).
Kwa upande wa kiroho nadhani huko baraka zako ndiyo zilipo sadaka inayokuwa ngumu kwako au kukuumiza ndiyo sadaka nzuri zaidi na utatakiwa ufanye hivyo mpaka utakapoponya nafsi yako ( mtihani wako).
Yafaa nini kusaidi watu wako wa karibu na unao wapenda tu,je siyo hata wenyedhambi na wasio mjua Mungu hufanya kwa wawapendao?
 
Ni wanawake wachache mno wenye kuweza kukusaidia bila kukujua pindi mwanaume ukiwa na uhitaji.

Pia tabia ya kusaidia saidia wanawake unaonekana mjinga ama unawahitaji hivyo huwafanya kuleta dharau kujilinda labda usiwatongoze kumbe haikuwa nia yako. kwa sasa siwezi msaidia pesa mwanamke au kutoa ofa kwa wadada nisiowajua kisa tu ni mwanamke labda awe ndugu au jirani yangu vnginevyo sijipendekezi kusaidia mwanamke labda awe mlemavu, bibi kizee hapo sijiulizi mara mbili hawa wanawake wengine ata kumkopesha mpaka aje na mume wake.

Mwanaume ni kuwa kiuanaume sio kuwa na roho ya kike kutoa misaada usiokuwa na future kwa vijana wa kike ni ukike. Eti unaombwa kununulia mtu chipsi sijui biriani na burger hata ukiwa na pesa usinunue hata kama una mpango wa kumtongoza usimnunulie kitu. Msisitize mambo mazuri yako mbele ya safari na Utamnunulia mbele kwa mbele [emoji1824][emoji1824][emoji1824]miss chuga Miss Natafuta Mamndenyi
 
Hii kitu huwa ninayo mimi tu au na kwa wengine..yaani nikitoa msaada wa ali na mali kwa mwanaume mwenzangu nafsi huwa yangu huwa inaridhika na kufurahi sana tofauti na kama nikimpa msaada mwanamke au mtoto wa kike, yaani huwa najihisi kutapeliwa na moyo wangu hauridhiki wala kufurahi hata kidogo na hii nahisi imesababishwa na mazingira niliyopitia yaani unamsaidia mwanamke ukigeuka tu huku nyuma anakung'ong'a na kukucheka wengine hufikia kukuona fara au mshamba kwakweli hii hali imeniathiri kisaikorojia yaani kumpa mwanamke msaada nafsi yangu inakuwa nzito sana.....juzi kuna dada ameniomba elfu thelathini ya matibabu nimemnyima na badala ya kujutia kitendo changu naona nafsi yangu inafarijika na kufurahi 🤔🤔.
Watasema labda weweshoga
 
Ukimpa msaada mwanaume automatically umempa masaada mwanamke Huna ulichokwepa mkuu.
 
Wanaume ndo tupo hivo mkuu.Yani ukimsaidia msela unafeel good sn sn.
 
Back
Top Bottom