Nikiona binadamu anazikwa nachanganyikiwa mno

Na umri huu wa miaka 30..sikuwah fikiria kuwa mzee wangu ipo siku atakuja kufa..sikuona thaman ya kitu chochote mbele ya uhai wake...nilitumia gharama yyte iliyo hitajika ili mrad tu nione tabasam lake lakin pesa sio kitu..nilijaribu kusacrifise uhai wangu ili tu yy apone lakin sikuandikiwa dhaidi ya ajal za hapa na pale tena zingine zenye ishara...anyway..Ya Mungu mengi
 
Sometime huwa nawaza wale watu wazima( umri umeenda) huwa wanafikiria nini kuhusu Kifo.
Kadri unavyozidi kuwa mtu mzima kuna namna unayaangalia maisha kwa angles tofauti.

Ukiwa 20s na 30s ni tofauti, lakini ukiingia 40s pia kuna namna unayaona maisha tofauti na hapo awali.

Kuna umri unafika huogopi tena kifo. Niliona hii kwa baba yangu, alitumia dawa za moyo, figo zimekata moto, pressure ipo hovyo, amechoka mda wote ukimwambia let's take a walk anakuambia what for, niache nipumzike. He knew his days on the planet were few and he wasn't afraid.
 
“Mimi ni siri ya binadamu na binadamu ni siri Yangu.” Hivyo, hazina na siri za Mungu zimetolewa kwa binadamu.

Mwenyezi Mungu aliweka siri katika mwili wa binadamu na akawainua milele wale walioitunza siri hiyo. Kutokana na kupokea muongozo kutoka katika ulimwengu wa Kimungu, miili hii ikapata siri ya ukaribu na Mwenyezi Mungu kuwa waliookolewa dhidi ya mwili.

Mja anapaswa kujua kuwa akili ina kikomo. Chochote kilicho
zaidi ya kikomo cha akili ni wazimu. Hata hivyo, uwezo wa moyoni mkubwa usiokuwa na kikomo. Kitovu cha utulivu ni kuzama ndani ya Mwenyezi Mungu na kuwa na Mwenyezi Mungu milele.

Matokeo yake ni kurejea
kwa Mwenyezi Mungu (kutopea ndani ya Mwenyezi Mungu)kama mto unavyopotelea baharini. Mwisho wa safari hii ni kudumu pamoja na Mwenyezi Mungu.

Inachoyafanya mauti yawe yenye kutisha ni gome hili la mwili. Utakapovunja gamba hili la mwili utayaona mauti yakionekana kama lulu!
 
...Umegeuza...Siri ya Kaburi Aijuaye Maiti !...
 
Hakuna kitu kinaumiza saana roho,,kama paleee,,,mpate ajali pamoja halafu ufe we peke yako tu...daahh,,roho inauma saana hapo[emoji2211]
 
Usiogope jambo la lazima, mambo yote ya lazima yana raha yake, mfano haja kubwa, haja ndogo, kujikuna, kupiga chafya, kula, kulala n.k
 
Mwanamke akifa akioza funza wanatokea tumboni kupitia Kwenye mbususu !! Inaumiza sana mbususu ilivyo tamu halafu funza wanapitia pale dah!! Mbususu mbususu mbususu !
 
Siku ngumu ni ya kwanza baada ya hapo utazoea shekhe.
 
Mkuu usitishike mule kaburi hakuna harakati yoyote mtu akishakata moto mwili ausikii wala kutambua kitu ndio mana wenzetu waindi wanachoma moto kabisa kwa kulijua holo uwa tunatishana tu .
Si mda mrefu kutoka sasa utalifumbua hilo fumbo na hapo ndipo utajua ujui.
 
Wanaume tumebaki wachache sana.
 
Hii ni chai
 
Chai yenye viungo vingi
 
Wafia diini majahazi mko na illusions sana..dini zimebakiza vitisho tu hasa suala la kifo mana hakuna mtu aliyekufa akafufuka ataleta mrejesho.

Kama vile hujui ulipokuwa kabla ya kizaliwa ndivyo hivyo hutajua kitakachoendelea baada ya kufa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ki
Kifo ni proccess ya kuelekea upande wa pili.

Ishi kwa malengo, acha legacy isiyokufa.
 
Nyie hamjui chochote kile. Huko wanakoenda waliokufa ni kuzuri ajabu. Kungekuwa kubaya basi wangekuwa wanarudi chap. Ila kutokana na tabia ya binadamu ya ubinafsi huwa hawataki na sisi tuende ili wao wale bata ili sisi tukienda baadae kwa kuchelewa tukute wao walianza bata muda mrefu.
Jamani huko ni kuzuri ila mshana jr anawakutisheni.
 
Ni baada ya maisha haya hope it's end of everything...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…