Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwani wewe kwenu ni mtaa gani Dar? Sema una sababu ambazo huwezi kutaja hapa. Kama ni vijijini, wengi wetu tumetokea huko hadi tukafika ulaya na bado hatuoni kama ni kosa kuwa na hali kama hiyoNa hizi ndio NDOA ZENU
Na hawa ndio WAUME ZENU..!!!
Ngoja nimalizie hii Hanson's Choice yangu Kubwa nikalale, Kesho kazini..!!!
πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
#YNWA
Unamkataa mke kisa umaskini wa nyumbani kwao!sasa ulienda kuoa au kuolewa!?Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.
Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze
Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.
Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.
Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi
Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...
Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Nakubaliana na wewe ,kuoa mwanamke masikini ni kujitafutia matatizo na laana.Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.
Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze
Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.
Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.
Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi
Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...
Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Masikini wana tamaa sana.Watoto wa kishua hawana uvumilivu ndoani bora tukaoe hao maskini maana ni wajenzi wazuri wa kaya
AiseeNa ndiyo maana tunazitafuta, na tukizichanga msirudi kuleta pua zenu tena..!!
Kwani wewe kwenu ni mtaa gani Dar? Sema una sababu ambazo huwezi kutaja hapa. Kama ni vijijini, wengi wetu tumetokea huko hadi tukafika ulaya na bado hatuoni kama ni kosa kuwa na hali kama hiyo
Kama unaenda kazini jumapili, hiyo sio kazi bali ni MISHE MISHE.
Kesho jumapili kaka kula farasi huyo usiwaze kesho sio jumatatu ππ
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.
Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze
Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.
Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.
Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi
Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...
Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Una kaujinga flani hivi wanaita amazing!Jitahidi ukue hata kwa lazima.Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.
Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze
Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.
Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.
Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi
Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...
Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Aisee una akili ndogo sana Chief. Nani kakuambia umasikin ni nyumba au mazingira. Umasikin ni akili yako one's umetambua unatakiwa ufanye nini ili utoke katika hali uliyonayo we ni tajir tayar. Kwenye ndoa kikubwa umpate mtu atakae kupa amani na furaha ya moyo wako. We unapata mtu bora unamhukum kwasababu za kuzaliwa huna akili kabisa. Ushajiuliza mzungu anatokaje New York anakuja kuolewa na mtu huko longido kijijjn. Watu wanatafuta mtu ataKaewapa furaha na amani maishan mwao sio historia za watu. Mimi Mungu akinijalia mwanangu yeyote akiniletea binadam mwenye akili timamu na nikaona anaweza kumpa aman na furaha mwanangu nitatoa sadaka ya shukran. Nitawapa Mali zangu kwa hatua kadiri nitakavyowaona wanaishi vizur na mwanangu. Coz hapa haji kuendeleza hali ya kwao na after all tunasafir tu hapa dunian kwanini uhisi wewe ni special sana.Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.
Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.
Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.
Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.
Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.
Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze
Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.
Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.
Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi
Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...
Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Hii inatakiwa iwe both ways ..kwa wanawake kwao ni ngumu wakijua family background yakoLilikuwa jukumu lako kuikomboa familia. Mungu akikubariki, nawe wabariki wengine.
Nyie wenyewe hamuwezi kuolewa na mwanaume mwenye background ya umaskini kwaoHiyo Ni tabia tu ya kupenda kitonga na uoga wa majukumu ambao Ni janga la hiki kizazi.....yaani mwanaume kabisa unajinadi lazima nioe mtoto wa kishua ili iweje wajomba wakuendeshee familia kwa Mali za baba mkwe??Kitawakuta kitu Shauri zenu
Aisee una akili ndogo sana Chief. Nani kakuambia umasikin ni nyumba au mazingira. Umasikin ni akili yako one's umetambua unatakiwa ufanye nini ili utoke katika hali uliyonayo we ni tajir tayar. Kwenye ndoa kikubwa umpate mtu atakae kupa amani na furaha ya moyo wako. We unapata mtu bora unamhukum kwasababu za kuzaliwa huna akili kabisa. Ushajiuliza mzungu anatokaje New York anakuja kuolewa na mtu huko longido kijijjn. Watu wanatafuta mtu ataKaewapa furaha na amani maishan mwao sio historia za watu. Mimi Mungu akinijalia mwanangu yeyote akiniletea binadam mwenye akili timamu na nikaona anaweza kumpa aman na furaha mwanangu nitatoa sadaka ya shukran. Nitawapa Mali zangu kwa hatua kadiri nitakavyowaona wanaishi vizur na mwanangu. Coz hapa haji kuendeleza hali ya kwao na after all tunasafir tu hapa dunian kwanini uhisi wewe ni special sana.
Nakusihi usimhukum tu kwa jambo ambalo halimhusu bali Kwa yale atakayofanya yeye.
We ndio masikini sasa,mtu mwenye akili hawezi kujenga nyumba bila choo bora,Aisee una akili ndogo sana Chief. Nani kakuambia umasikin ni nyumba au mazingira. Umasikin ni akili yako one's umetambua unatakiwa ufanye nini ili utoke katika hali uliyonayo we ni tajir tayar. Kwenye ndoa kikubwa umpate mtu atakae kupa amani na furaha ya moyo wako. We unapata mtu bora unamhukum kwasababu za kuzaliwa huna akili kabisa. Ushajiuliza mzungu anatokaje New York anakuja kuolewa na mtu huko longido kijijjn. Watu wanatafuta mtu ataKaewapa furaha na amani maishan mwao sio historia za watu. Mimi Mungu akinijalia mwanangu yeyote akiniletea binadam mwenye akili timamu na nikaona anaweza kumpa aman na furaha mwanangu nitatoa sadaka ya shukran. Nitawapa Mali zangu kwa hatua kadiri nitakavyowaona wanaishi vizur na mwanangu. Coz hapa haji kuendeleza hali ya kwao na after all tunasafir tu hapa dunian kwanini uhisi wewe ni special sana.
Nakusihi usimhukum tu kwa jambo ambalo halimhusu bali Kwa yale atakayofanya yeye.
Ahaaa umenichekesha sana,yaani niende na katoni ya maji,kumbuka mi pia kwetu kwa asili ni kijijini ila kuna choo nora maji ya chemchem yanatiririka kwenye mwamba,matamu hayo balaa.karibu lushoto bujibujiMwaka Mpya na zuzumagic mpya. Angekuwa na pesa, siku angefungasha ma ya kupeleka ukweni. Ukweni kashindwa kwenda hata na Catton moja ya maji. Huyu ni zuzu kabisa, walifanya vyema sana kumnywesha maji yenye rangi ya asali
Wasambaa mshazoea kuoana ninyi kwa ninyi ili muongee kilugha muda wote, ni wabinafsi tbh. Mnyatunzu usingemuweza ww!! Usijali huyo dada atapata hata ngosha wa kumsitiri.Ahaaa umenichekesha sana,yaani niende na katoni ya maji,kumbuka mi pia kwetu kwa asili ni kijijini ila kuna choo nora maji ya chemchem yanatiririka kwenye mwamba,matamu hayo balaa.karibu lushoto bujibuji