Niliamua kumuacha huyu 'wife material' sababu ya umasikini wa kwao

Na hizi ndio NDOA ZENU
Na hawa ndio WAUME ZENU..!!!

Ngoja nimalizie hii Hanson's Choice yangu Kubwa nikalale, Kesho kazini..!!!
🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️🚶🏿‍♂️

#YNWA
Kwani wewe kwenu ni mtaa gani Dar? Sema una sababu ambazo huwezi kutaja hapa. Kama ni vijijini, wengi wetu tumetokea huko hadi tukafika ulaya na bado hatuoni kama ni kosa kuwa na hali kama hiyo
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Unamkataa mke kisa umaskini wa nyumbani kwao!sasa ulienda kuoa au kuolewa!?
Ndio maana siku Hz mashoga wengi!!
Kazi ya kutafuta mali na kutunza mke na familia yao ni ya mwanamume,wewe Bado mvulana,au unapoelekea.......!!????
 
Msimkandie mwana yupo sahihi kabisa kiupande wake, ujue hivi vitu ni machaguzi... Me pia mwanamke akishafikia hali ya kuitwa masikini dah! Na-cancel, Maskini ni mtu asiejiweza kwenye kila kitu kimwili hata kiroho hapo msaada wa pekee ni Mungu sio mimi.... Babe wangu awe na maisha ya kawaida yaani bills zake azimudu, sio za familia nzima i mean zake tu inanitosha na sio azipate kwa kuuza utu, Apate kwa njia sahihi (pesa safi) huyu ananifaa sana maana tunaweza kukaa na kupanga mambo ya kimaendeleo maana yupo kwenye system tunaweza kwenda sawa.... Lakini Pia hatupaswi kuangalia kigezo kimoja tu maana ndoa/kuoa ni zaidi ya pesa kuna characteristics kila mmoja anapaswa kufit kwa mwingine ili muende sawa.... Me humpa sikio Mungu maana pia kuna wakati najua akili na moyo vyaweza kataa ila sauti yake ikafanya nitii so, Me husema kama apendavyo yeye.
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Nakubaliana na wewe ,kuoa mwanamke masikini ni kujitafutia matatizo na laana.
 
Kwani wewe kwenu ni mtaa gani Dar? Sema una sababu ambazo huwezi kutaja hapa. Kama ni vijijini, wengi wetu tumetokea huko hadi tukafika ulaya na bado hatuoni kama ni kosa kuwa na hali kama hiyo

Kwetu Ni Mwananyamala kwa Kopa, M/Nyamala mchangani, M/Nyamala Bwawani, M/Nyamala Kisiwani, Mwananyamala B, Mwananyamala Komakoma

Yaani Mwananyamala yoteee ni KWETU.

Mi sio mtoto wa kijijini, me ni "Born town" kitambo.
NIMEZALIWA hapo Hospital ya Mwananyamala (Mwananyamala Hosptali).

#YNWA
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja

Kwa mtazamo huu, utakuja kuishi maisha magumu sana huko mbeleni.
 
Una kaujinga flani hivi wanaita amazing!Jitahidi ukue hata kwa lazima.
 
Mtoa Mada yupo sahihi

Wanawake watafute pesa wawajengee nyumba na choo wazazi wao huko kijijini Ni Jambo la kheri na baraka

mdukuzi upo sahihi swala la kutafuta hela ni la kila Binadamu ME na KE , Kama sisi masikini tuliotukuka tunakataliwa kuoa why wao tuwaoe kirahisi Rahisi? Na extreme poverty

No no

NB mdukuzi acha Uzinzi Ni hatari na Ni dhambi kubwa
 
Wanawake tafuteni hela mtakosa wachumba.

Nilikutana na huyu mwanamke miaka ya nyuma huko.

Akawa abakuja gheto anapika, anafua, usafi anafanya na moto nampelekea.

Hakuwa na makuu kivile ila alikuwa na simu kali kuliko yangu, akivaa anapendeza sana nikasema mke ndio huyu twende kwenu.

Tukaenda kwao Singida, kutoka Singida mjini hadi kwao ni masaa sita, kata inaitwaje sijui ila ni kabila la Wanyisanzu.

Nilichokiona sikuamini, kwanza kijiji hakina mtandao wa simu mpaka upande kichuguuni, maji ya kunywa yana rangi ya chai ya maziwa, choo cha shimo hakina mlango ukisikia mtu anakuja unakohoa ili ageuze

Kitanda cha kamba, kajumba kenyewe ukipiga teke kanadondoka.

Baada ya kurudi mjini nilifuta namba yake palepale.

Mimi ninaamini umasikini kama sio laana basi ni kitu fulani hivi cha kurithi

Wanaume masikini kuachwa ruksa ila wanawake masikini kuacha utaambiwa ni kukufuru Mungu...

Wanawake tafuteni hela. Na nyie makamanda mnaoa watoto masikini mbinguni moja kwa moja
Aisee una akili ndogo sana Chief. Nani kakuambia umasikin ni nyumba au mazingira. Umasikin ni akili yako one's umetambua unatakiwa ufanye nini ili utoke katika hali uliyonayo we ni tajir tayar. Kwenye ndoa kikubwa umpate mtu atakae kupa amani na furaha ya moyo wako. We unapata mtu bora unamhukum kwasababu za kuzaliwa huna akili kabisa. Ushajiuliza mzungu anatokaje New York anakuja kuolewa na mtu huko longido kijijjn. Watu wanatafuta mtu ataKaewapa furaha na amani maishan mwao sio historia za watu. Mimi Mungu akinijalia mwanangu yeyote akiniletea binadam mwenye akili timamu na nikaona anaweza kumpa aman na furaha mwanangu nitatoa sadaka ya shukran. Nitawapa Mali zangu kwa hatua kadiri nitakavyowaona wanaishi vizur na mwanangu. Coz hapa haji kuendeleza hali ya kwao na after all tunasafir tu hapa dunian kwanini uhisi wewe ni special sana.
Nakusihi usimhukum tu kwa jambo ambalo halimhusu bali Kwa yale atakayofanya yeye.
 
Hiyo Ni tabia tu ya kupenda kitonga na uoga wa majukumu ambao Ni janga la hiki kizazi.....yaani mwanaume kabisa unajinadi lazima nioe mtoto wa kishua ili iweje wajomba wakuendeshee familia kwa Mali za baba mkwe??Kitawakuta kitu Shauri zenu
Nyie wenyewe hamuwezi kuolewa na mwanaume mwenye background ya umaskini kwao

Mnatumia neno "Kitonga " kama defence mechanism kwenu

Ku oa mwanamke mwenye background nzuri haimaanishi usaidiwe majukumu
 
Aisee una akili ndogo sana Chief. Nani kakuambia umasikin ni nyumba au mazingira. Umasikin ni akili yako one's umetambua unatakiwa ufanye nini ili utoke katika hali uliyonayo we ni tajir tayar. Kwenye ndoa kikubwa umpate mtu atakae kupa amani na furaha ya moyo wako. We unapata mtu bora unamhukum kwasababu za kuzaliwa huna akili kabisa. Ushajiuliza mzungu anatokaje New York anakuja kuolewa na mtu huko longido kijijjn. Watu wanatafuta mtu ataKaewapa furaha na amani maishan mwao sio historia za watu. Mimi Mungu akinijalia mwanangu yeyote akiniletea binadam mwenye akili timamu na nikaona anaweza kumpa aman na furaha mwanangu nitatoa sadaka ya shukran. Nitawapa Mali zangu kwa hatua kadiri nitakavyowaona wanaishi vizur na mwanangu. Coz hapa haji kuendeleza hali ya kwao na after all tunasafir tu hapa dunian kwanini uhisi wewe ni special sana.
Nakusihi usimhukum tu kwa jambo ambalo halimhusu bali Kwa yale atakayofanya yeye.
Aisee una akili ndogo sana Chief. Nani kakuambia umasikin ni nyumba au mazingira. Umasikin ni akili yako one's umetambua unatakiwa ufanye nini ili utoke katika hali uliyonayo we ni tajir tayar. Kwenye ndoa kikubwa umpate mtu atakae kupa amani na furaha ya moyo wako. We unapata mtu bora unamhukum kwasababu za kuzaliwa huna akili kabisa. Ushajiuliza mzungu anatokaje New York anakuja kuolewa na mtu huko longido kijijjn. Watu wanatafuta mtu ataKaewapa furaha na amani maishan mwao sio historia za watu. Mimi Mungu akinijalia mwanangu yeyote akiniletea binadam mwenye akili timamu na nikaona anaweza kumpa aman na furaha mwanangu nitatoa sadaka ya shukran. Nitawapa Mali zangu kwa hatua kadiri nitakavyowaona wanaishi vizur na mwanangu. Coz hapa haji kuendeleza hali ya kwao na after all tunasafir tu hapa dunian kwanini uhisi wewe ni special sana.
Nakusihi usimhukum tu kwa jambo ambalo halimhusu bali Kwa yale atakayofanya yeye.
We ndio masikini sasa,mtu mwenye akili hawezi kujenga nyumba bila choo bora,
 
Mwaka Mpya na zuzumagic mpya. Angekuwa na pesa, siku angefungasha ma ya kupeleka ukweni. Ukweni kashindwa kwenda hata na Catton moja ya maji. Huyu ni zuzu kabisa, walifanya vyema sana kumnywesha maji yenye rangi ya asali
Ahaaa umenichekesha sana,yaani niende na katoni ya maji,kumbuka mi pia kwetu kwa asili ni kijijini ila kuna choo nora maji ya chemchem yanatiririka kwenye mwamba,matamu hayo balaa.karibu lushoto bujibuji
 
Wasambaa mshazoea kuoana ninyi kwa ninyi ili muongee kilugha muda wote, ni wabinafsi tbh. Mnyatunzu usingemuweza ww!! Usijali huyo dada atapata hata ngosha wa kumsitiri.

Wewe ni gold digger!!
 
Back
Top Bottom