Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Sasa ulicho reply hapa na ulichoandika kwenye uzi wako unaona ni sawa?

Mbona kama umedata hivi?
 
Inna lilah wa inna lilah rajuun
 
Unaweza Kuta Jamaa Linasema Ukweli jamani..

Msidharau Walevi OhooπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Mtume Muhammad (S.A.W)alisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu wazazi

Aliwahi kusema, β€œRadhi ya Allah ipo kwenye radhi ya wazazi, na ghadhabu ya Allah ipo kwenye ghadhabu ya wazazi” (Sunan Ibn Majah).

Pia kwenye Quran..




Usikute Kweli Jamani πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£

Kwenye Biblia..

Mithali 20:20

"Amlaaniye babaye au mamaye, Taa yake itazimika katika giza kuu."

Wakolosai 3:20

"Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana."




 
Pazingatie hapo aliposema yeye anamuabudu "baba yake mzazi" na "siyo Mwenyezi Mungu "
 
Pazingatie hapo aliposema yeye anamuabudu "baba yake mzazi" na "siyo Mwenyezi Mungu "
Kati ya Allah na Jehovah yupi ni Mwenyezi Mungu anayestahili kuabudiwa?

Allah yeye hafanani na chochote. Hajawahi kuzaa wala Hana mtoto.
Jehovah aliumba mwanadamu kwa mfano wake.

Na mimi baba yangu mzazi aliniumba kwa mfano wake, yaani copy right kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…