KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #41
AminaHaya sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AminaHaya sawa
Sasa ulicho reply hapa na ulichoandika kwenye uzi wako unaona ni sawa?Waefeso 6:2-3
[2]Waheshimu baba yako na mama yako; amri hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi,
Honour thy father and mother; (which is the first commandment with promise😉
[3]Upate heri, ukae siku nyingi katika dunia.
That it may be well with thee, and thou mayest live long on the earth.
Wewe endelea kuabudu baba wa wenzakoUkienda clinic next time,waambie wakubadilishie Dawq kabla hujaanza okota makopo
Hizi scripture alipewa Musa na Yehova na si baba yako, kuna wimbi la Bangi kutoka Swaziland zinaingizwa Tanzania sasa, ni bangi kali sana.Ndio nimeacha sasa kuabudu miungu mingine namwabudu baba yangu katika roho na kweli
Ndo maana mwanzo nilimuuliza "ameanza lini kuchanganyikiwa?"Kumbe hadi amri 10 za Mungu unazijuwa?
Amri ya kwanza ndimi bwana Mungu wako usiabudu miungu wengine
Lawama zote ni kwa ccm.Ndo maana mwanzo nilimuuliza "ameanza lini kuchanganyikiwa?"
Maana saivi ndo anadhihirisha wazi kabisa kuwa akili yake haiko sawa 😑
Huyu kuna namna amedata,, aliyepo karibu yake hemu amnyang'anye hiyo simu 😑Haya sawa
Lawama zote ni kwa ccm.
Inna lilah wa inna lilah rajuunJohn Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
HakikaLawama zote ni kwa ccm.
Pazingatie hapo aliposema yeye anamuabudu "baba yake mzazi" na "siyo Mwenyezi Mungu "Unaweza Kuta Jamaa Linasema Ukweli jamani..
Msidharau Walevi Ohoo😀😀😀
Mtume Muhammad (S.A.W)alisisitiza umuhimu wa kuwaheshimu wazazi
Aliwahi kusema, “Radhi ya Allah ipo kwenye radhi ya wazazi, na ghadhabu ya Allah ipo kwenye ghadhabu ya wazazi” (Sunan Ibn Majah).
Pia kwenye Quran..
View attachment 3138582
View attachment 3138581
Usikute Kweli Jamani 😳😳😳😀😀😀😀😀😅😅🤣🤣
Kwenye Biblia..
Mithali 20:20
"Amlaaniye babaye au mamaye, Taa yake itazimika katika giza kuu."
Wakolosai 3:20
"Ninyi watoto, watiini wazazi wenu katika mambo yote; maana jambo hili lapendeza katika Bwana."
View attachment 3138584
View attachment 3138587
Hahaha Mzee John Kapongo Mgwata 🤣🤣🤣Pazingatie hapo aliposema yeye anamuabudu "baba yake mzazi" na "siyo Mwenyezi Mungu "
Kwani Allah na Jehovah ni kitu kimoja? Jibu hili swaliInna lilah wa inna lilah rajuun
Mwenyezi Mungu ni nani? Je ni Allah au ni Jehovah?Hahaha Mzee John Kapongo Mgwata 🤣🤣🤣
Kati ya Allah na Jehovah yupi ni Mwenyezi Mungu anayestahili kuabudiwa?Pazingatie hapo aliposema yeye anamuabudu "baba yake mzazi" na "siyo Mwenyezi Mungu "
Ni muumba wa kila kitu mwenye kuabudiwa kwa haki.Mwenyezi Mungu ni nani?
Kati ya Allah na Jehovah yupi ana sifa hizo?Ni muumba wa kila kitu mwenye kuabudiwa kwa haki.
Mwenyezi = Mwenye Enzi