Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Allah ni jina la Mungu linalotumika katika uislam

Jehovah ni jina la Mungu linatomika katika ukristo.
 
Baba anazaa?
Alikuzalia wadi na hospitali gani?
 
😀😀 nimesoma comments, wadau wanakushambulia kweli kweli, cha kushangaza uyo mungu wao wanaemsemea hawezi kuja hapa kukushambulia yeye mwenyewe
 
Ndo maana mwanzo nilimuuliza "ameanza lini kuchanganyikiwa?"

Maana saivi ndo anadhihirisha wazi kabisa kuwa akili yake haiko sawa 😑
Twende ukajibu spana ninazokupiga nazo, acha kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…