CriSanToS
JF-Expert Member
- Feb 16, 2024
- 1,233
- 3,575
Allah ni jina la Mungu linalotumika katika uislamKati ya Allah na Jehovah yupi ni Mwenyezi Mungu anayestahili kuabudiwa?
Allah yeye hafanani na chochote. Hajawahi kuzaa wala Hana mtoto.
Jehovah aliumba mwanadamu kwa mfano wake.
Na mimi baba yangu mzazi aliniumba kwa mfano wake, yaani copy right kabisa
Jehovah ni jina la Mungu linatomika katika ukristo.