Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Tangu ni mtongoze mke wangu mara2 na kumwambia nipo single mke wangu ni marehemu niliacha kufakamia pombe tangu siku hiyo.

Mkuu Punguza pombe huko unakoelekea ni kubaya
 
Afya ya akili
 


Sasa Mkuu kumbe wewe upo kidini Zaidi Ndio maana inakuwa ngumu kuelewa B'se kuna tofauti kubwa Sana kati ya MUNGU na dini
 
Mungu hakukuumba kama robot, una uhuru wa kuchagua jema au baya.
Hiyo adhabu ya siku ya mwisho ni ipi?
 
Sijaumbwa na yeyote yule.

Nimezaliwa kutoka kwa mama yangu.
Viumbe vyote vilivyo hai vina DNA zinazofanana, ile “lugha ya kompyuta” au mfumo unaoongoza umbo na utendaji wa chembe.
Swali: Je, kufanana huko hakuwezi kuwa si kwa sababu vinatokana na mzazi mmoja, bali kwa sababu vina Mbuni mmoja?
 
Wewe tuambie huyo mungu wako kaumbwa na nani kwanza
Mungu ndiye Chanzo cha nguvu au nishati isiyo na kikomo. (Ayubu 37:23 )

Hilo ni jambo muhimu kwa sababu wanasayansi wamegundua kwamba nishati inaweza kugeuzwa na kuwa kitu chenye uzani.

Biblia inasema kwamba Mungu ndiye Chanzo cha “nguvu zenye msukumo” zilizotokeza ulimwengu. ( Isaya 40:26 ) Mungu ameahidi kwamba atatumia nguvu zake kutegemeza uumbaji wake, kwa kuwa Biblia inasema hivi kuhusu jua, mwezi, na nyota: “[Mungu] huendelea kuvisimamisha milele, mpaka wakati usio na kipimo.”— Zaburi 148:3-6 .
 
Mungu anajidhihirisha kwetu kupitia sheria ya asili, kupitia uumbaji wake, kupitia Neno lake, na kupitia Roho Mtakatifu . Yesu Kristo anawakilisha utimilifu wa Ufunuo wa Kiungu. Kinachoweza kujulikana juu ya Mungu ni dhahiri kwao, kwa sababu Mungu alidhihirisha kwao.
 
Mungu ni nishati kama ulivyosema ila mstari wa chini unadai Mungu kasema?????????
 
Mungu ni nishati kama ulivyosema ila mstari wa chini unadai Mungu kasema?????????
Mungu ameahidi kwamba atatumia nguvu zake kutegemeza uumbaji wake, kwa kuwa Biblia inasema hivi kuhusu jua, mwezi, na nyota: “[Mungu] huendelea kuvisimamisha milele, mpaka wakati usio na kipimo.”— soma Zaburi 148:3-6 .
 
Haujathibitisha uwepo wa Mungu zaidi ya kuhubiri
 
Mungu ameahidi kwamba atatumia nguvu zake kutegemeza uumbaji wake, kwa kuwa Biblia inasema hivi kuhusu jua, mwezi, na nyota: “[Mungu] huendelea kuvisimamisha milele, mpaka wakati usio na kipimo.”— soma Zaburi 148:3-6 .
Mungu hayupo hizo ni hadithi za kiimani tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…