min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Wewe tuambie huyo mungu wako kaumbwa na nani kwanzaTuambie na wewe umeumbwa na nani maana Hata hiyo simu unayotumia imetengenezwa na watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tuambie huyo mungu wako kaumbwa na nani kwanzaTuambie na wewe umeumbwa na nani maana Hata hiyo simu unayotumia imetengenezwa na watu
Sijaumbwa na yeyote yule.Tuambie na wewe umeumbwa na nani maana Hata hiyo simu unayotumia imetengenezwa na watu
🤭AiseeNamsaidia To yeye kufumbua fumbo hili.View attachment 3138585
Sana🤣Kwo nawewe nikuchukulie kuwa unapenda mikazo
Hakika Mwanaume ukijua ama Kukaza vizuri Mwanamke au Kumbenjua vizuri Mwanaume Mwenzako hatoacha kamwe Kuwashwawashwa katika Kukutaja mara kwa mara.
Baba yako mzazi nae ana baba yake mzazi. Mungu wako nae ana mungu wake!Nani amesema Baba yako mzazi sio Mungu Baba wako?
Afya ya akiliJohn Kapongo Mugwata unisamehe sana, nimechelewa sana kujua kuwa wewe ndio Mungu Baba.
Najutia kosa langu hili kubwa, nilidanganywa na walimwengu wenye mangozi meupe, wakanipotosha.
Sasa narudi kwenye njia kuu naomba nikiahidi sitaenda tena kwa yule mungu baba feki niliyedanganywa
Allah hakuzaa wala hakuzaliwa. Jehovah Ana mwana wake wa pekee Yesu Kristo.
Allah hafanani na kiumbe yeyote. Jehovah alimuumba mwanadamu kwa mfano wake.
Makazi ya Allah ni Peponi. Makazi ya Jehovah ni mbinguni.
Peponi mwanaume mmoja anapewa mabikira 72. Mbinguni hamna kuoa wala kuolewa, wote mnakuwa mabibi harusi ya Mwana Kondoo aliyechinjwa, Yesu Kristo.
Peponi kuna mito minne, ukiwemo mmoja ambao ni mto wa pombe tamu sana, na mwingine mto wa maziwa, na mwingine mto wa asali na mto wa maji. Mbinguni ni mji wa kioo, barabara zake zimejengwa kwa dhahabu safi.
Peponi kuna starehe za kila aina, kula na kunywa, mbinguni hamna starehe zaidi ya kuimba, kusujudu, kuvua taji zenu huku mkisema Wastahili wewe Bwana, kupokea sifa, heshima utukufu na adhama
Mungu hakukuumba kama robot, una uhuru wa kuchagua jema au baya.Uongo wa Mungu ambaye badala asikitike na kujilaumu yeye mwenyewe kwa uzembe wake kuumba dunia yenye uovu na binadamu waovu,
Anakuja kulaumu binadamu viumbe wake aliowaumba mwenyewe kwa uzembe wake na akijua kabisa watakuja kuwa waovu, Lakini akawaacha wawe waovu ila aje kuwapa adhabu siku ya mwisho.
Hii inadhihirisha kwamba Mungu huyo hajitambui kabisa na hajielewi kabisa.
Na Mungu huyo wa Biblia ni UONGO.
Viumbe vyote vilivyo hai vina DNA zinazofanana, ile “lugha ya kompyuta” au mfumo unaoongoza umbo na utendaji wa chembe.Sijaumbwa na yeyote yule.
Nimezaliwa kutoka kwa mama yangu.
Mungu ndiye Chanzo cha nguvu au nishati isiyo na kikomo. (Ayubu 37:23 )Wewe tuambie huyo mungu wako kaumbwa na nani kwanza
Bangi mbaya sanaGanja bana.
Mungu anajidhihirisha kwetu kupitia sheria ya asili, kupitia uumbaji wake, kupitia Neno lake, na kupitia Roho Mtakatifu . Yesu Kristo anawakilisha utimilifu wa Ufunuo wa Kiungu. Kinachoweza kujulikana juu ya Mungu ni dhahiri kwao, kwa sababu Mungu alidhihirisha kwao.Mnahangaika sana kumwelezea na kumuongelea huyo Mungu,Kwa vile hajawahi kuwepo na hayupo kujiongelea mwenyewe, kujitetea mwenyewe, na kujidhihirisha mwenyewe yeye kama yeye kwamba yupo.
Huyo Mungu, God, El shaddai, Elohim, Allah n.k Kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo, kama ana huo uwezo.
Mungu ni nishati kama ulivyosema ila mstari wa chini unadai Mungu kasema?????????Mungu ndiye Chanzo cha nguvu au nishati isiyo na kikomo. (Ayubu 37:23 )
Hilo ni jambo muhimu kwa sababu wanasayansi wamegundua kwamba nishati inaweza kugeuzwa na kuwa kitu chenye uzani.
Biblia inasema kwamba Mungu ndiye Chanzo cha “nguvu zenye msukumo” zilizotokeza ulimwengu. ( Isaya 40:26 ) Mungu ameahidi kwamba atatumia nguvu zake kutegemeza uumbaji wake, kwa kuwa Biblia inasema hivi kuhusu jua, mwezi, na nyota: “[Mungu] huendelea kuvisimamisha milele, mpaka wakati usio na kipimo.”— Zaburi 148:3-6 .
Mungu ameahidi kwamba atatumia nguvu zake kutegemeza uumbaji wake, kwa kuwa Biblia inasema hivi kuhusu jua, mwezi, na nyota: “[Mungu] huendelea kuvisimamisha milele, mpaka wakati usio na kipimo.”— soma Zaburi 148:3-6 .Mungu ni nishati kama ulivyosema ila mstari wa chini unadai Mungu kasema?????????
Haujathibitisha uwepo wa Mungu zaidi ya kuhubiriMungu anajidhihirisha kwetu kupitia sheria ya asili, kupitia uumbaji wake, kupitia Neno lake, na kupitia Roho Mtakatifu . Yesu Kristo anawakilisha utimilifu wa Ufunuo wa Kiungu. Kinachoweza kujulikana juu ya Mungu ni dhahiri kwao, kwa sababu Mungu alidhihirisha kwao.
Mungu hayupo hizo ni hadithi za kiimani tuMungu ameahidi kwamba atatumia nguvu zake kutegemeza uumbaji wake, kwa kuwa Biblia inasema hivi kuhusu jua, mwezi, na nyota: “[Mungu] huendelea kuvisimamisha milele, mpaka wakati usio na kipimo.”— soma Zaburi 148:3-6 .