Nilichelewa sana kujua kwamba Mungu Baba ni huyu Baba yangu mzazi aliyenizaa na kunilea. Mzee nisamehe kwa kuabudu miungu wengine

Huyo Mungu wako anakujua hata jina lako?

MIMI ni mwana wake na yeye ni Baba yangu 👉 majina yetu ya hapa duniani ni kwaajili ya utambulisho wa mwili hu wa nyama na DAMU juu ya nchi hi na yana mwisho wake ila mbele za MUNGU na Baba yangu wa mbinguni ananitambua kama mwana wake mpendwa basi
 
Thibitisha bila shaka yoyote kwamba anakufahamu jina lako.
 
Huyu kuna namna amedata,, aliyepo karibu yake hemu amnyang'anye hiyo simu 😑
Njoo ujibu hoja huku wacha kukimbia. Njoo na mungu wako, nyie wote pamoja msaidiane discussion ya maswali yangu
 
Kwani kati ya Allah na Jehovah Mungu wako ni yupi?
Ngoja nikusaidie kidogo. Hapo hamna tofauti yeyote ya yule anaezungumziwa, utofauti ni lugha iliyotumika kutaja jina lake tu. Allah ni kiarabu,Jehova ni kiswahili. Swali dogo la kukutafakarisha, hivi anayesema "Mungu amenibariki" na " "God amenibariki" unahisi kuna utofauti wowote kwa anayezungumziwa?
 
Hujui kitu.
Humjui Allah wala humjui Jehovah na sifa zao. Usikurupuke kujibu kabla hujatafiti.

Pitoa machapisho mbalimbali ujue tofauti ya hao miungu yenu
 
Back
Top Bottom