KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
- Thread starter
- #81
Huyo Mungu wako anakujua hata jina lako?Sio tarehe ya kutungwa tu, hata tarehe yake ya kuzaliwa sijui kama anaijua 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Mungu wako anakujua hata jina lako?Sio tarehe ya kutungwa tu, hata tarehe yake ya kuzaliwa sijui kama anaijua 😂
Wanayakimbia maswali yanguWanataka umuabudu nani? Wakubaliane alafu wakwambie!
Huyo Mungu wako anakujua hata jina lako?
Thibitisha bila shaka yoyote kwamba anakufahamu jina lako.MIMI ni mwana wake na yeye ni Baba yangu 👉 majina yetu ya hapa duniani ni kwaajili ya utambulisho wa mwili hu wa nyama na DAMU juu ya nchi hi na yana mwisho wake ila mbele za MUNGU na Baba yangu wa mbinguni ananitambua kama mwana wake mpendwa basi
Mtazamo wa wana JF unanisaidia nini maishani mwangu?Amesema hajali Wala nini
Njoo ujibu hoja huku wacha kukimbia. Njoo na mungu wako, nyie wote pamoja msaidiane discussion ya maswali yanguHuyu kuna namna amedata,, aliyepo karibu yake hemu amnyang'anye hiyo simu 😑
Cha arusha hakijawah kumuacha mtu salama😄😄Ganja bana.
Ukoo wangu MugwataKapongo?
Unamjua sabrina kapongo? Mama John?
Kwani kati ya Allah na Jehovah Mungu wako ni yupi?Cha arusha hakijawah kumuacha mtu salama😄😄
Ngoja nikusaidie kidogo. Hapo hamna tofauti yeyote ya yule anaezungumziwa, utofauti ni lugha iliyotumika kutaja jina lake tu. Allah ni kiarabu,Jehova ni kiswahili. Swali dogo la kukutafakarisha, hivi anayesema "Mungu amenibariki" na " "God amenibariki" unahisi kuna utofauti wowote kwa anayezungumziwa?Kwani kati ya Allah na Jehovah Mungu wako ni yupi?
Amka na wewe, ukrist co dini.Ganja bana.
Jesus loves you.Amka na wewe, ukrist co dini.
Kapongo?
Unamjua sabrina kapongo? Mama John?
Hujui kitu.Ngoja nikusaidie kidogo. Hapo hamna tofauti yeyote ya yule anaezungumziwa, utofauti ni lugha iliyotumika kutaja jina lake tu. Allah ni kiarabu,Jehova ni kiswahili. Swali dogo la kukutafakarisha, hivi anayesema "Mungu amenibariki" na " "God amenibariki" unahisi kuna utofauti wowote kwa anayezungumziwa?
Bado hujasema.... Mpaka useme.Hizi ni dalili za matumizi kuzidi kipato