Nilichojifunza kuhusu wanaume
There ain't no replacement of men in da world. And it will never happening.

Men will be Men

Call them dogs, pigs whatever the shit u spit out but still men will be Men.

Hail to all men over the world

Hey!! U rainbow fags u can't be Men.

Am sorry!!
 
Sio wote wanaotunza familia zao wengi wao wanatunza Malaya .

Hata wasifiweje watu mia mie najua sio waaminifu tunaishi nao Kwa imani
 
Natumaini mko poa,

Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali.

Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.

Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafanya hayo.

Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna wakati hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.

Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.

Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahidi kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivyo unavyoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.

Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.

Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Ntumie namba yako pm nikushukuru kwakukupa sadaka yangu baada ya kukuombea kwa mungu.
I wish mwanamke ntakayemuoa awe na mtazamo kama wako
 
Ubarikiwe sana kiongozi kwa kuwaangaliza akina mama esp. Walio na familia iliyokamilika i.e. Baba, Mama na Watoto wasibweteke na kutoiona thamani ya Baba hata kama ni mkorofi - Baba ni baba tuu.
 
Kabisa tulioishi na baba na baadae hawakuwepo tunaelewa pengo lao
 
Sio wote wanaotunza familia zao wengi wao wanatunza Malaya .

Hata wasifiweje watu mia mie najua sio waaminifu tunaishi nao Kwa imani
Inawezekana dear ndio maana nikasema nlpamoja na madhaifu Yao lakini Bado wanamchango katika ustaw wa familia
 
Nakuombea mume mwenye kheri na wewe
Kwa kweli wanaume ni nguzo ya familia
Tunavumilia mengi sana ila mengi yanarekebishika kwa subra ya hali ya juu

Mwanamke aliefunzwa maadili na dini pia hawezi kuchezea familia yake
Amiin amiin nashukuru
Ni kweli na wakiondoka ndo tunaanza kukumbuka na kusema Bora angekuwepo Kwa waliofariki ni mipango ya Mungu ila kunahawa wa makusudi tunaojiona tunaweza sana kilakitu
 
Yes , wakuwapiga wake zao , kuwa bughushi na kuwashusha dhamani
Sina experience maah thamani yamtu mwenyew ndo unatengeneza
@Deepond mchepukaji high class lkni sijawahi sikia Uzi wa kumshusha thamni mkewe
Kwa wengine kama wako hivo wajirekebishe Sio jambo jemq
 
Back
Top Bottom