Nzitunuku basi jamani mrembo😂😂Unateseka na ndoa yangu sema nikutunukie 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzitunuku basi jamani mrembo😂😂Unateseka na ndoa yangu sema nikutunukie 😂😂😂
Shs ngapiTunalipa Mkuu, unalipia tu
Waishi sana😍Tena tunawapendaga sana
Makopa na makiss kwao 😁
Ntumie namba yako pm nikushukuru kwakukupa sadaka yangu baada ya kukuombea kwa mungu.Natumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafanya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna wakati hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahidi kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivyo unavyoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
100,000 TU ya Kitanzania Kwa JF. Ni ndogo sana kwakua ni mara Moja TU! Miaka ile tulikua unalipa Kwa 12monthsShs ngapi
Ubarikiwe sana kiongozi kwa kuwaangaliza akina mama esp. Walio na familia iliyokamilika i.e. Baba, Mama na Watoto wasibweteke na kutoiona thamani ya Baba hata kama ni mkorofi - Baba ni baba tuu.Natumaini mko poa,
Nilipoteza baba nikiwa najitambua kiasi nikabaki na mama pekee. Mama alikuwa mchakarikaji sana lakini kuna vitu vilibadilika sana mambo hayakuwa kama yalivyo awali.
Maisha yalikuwa tofuti sana na kipindi baba yangu yuko hai nikaona ni kiasi gani mzee aliteseka kuhakikisha tunaishi vizuri na tunakuwa salama sisi na mama yetu nimejisikia kuwasemea leo.
Kuna wakati wanaume wanapitia mambo mengi magumu kwaajili ya familia zao ama watu wanaowapenda hasa katika utafutaji wa riziki. Kuna walio na kazi za halali, kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafanya hayo.
Kuna ambao wanatamani asubuhi isifike kwani kwao ni mateso matupu. Hadi jua linazama ni mwendo wa mahangaiko na ukute kuna wakati hawapati kabisa lakini ndo hivyo waliumbiwa mateso, ni mwendo wa kichwa kupata moto tu.
Wanawake wengi tumekuwa ni wazuri kwa upokeaji lakini ni wachache wa kushukuru. Tuwahurumie na tuwaombee japo wana mabaya yao na madhaifu yao walokuwanayo lakini watabaki kuwa ni muhimu kwa ustawi wafamilia zetu.
Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahidi kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivyo unavyoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Na sisi wa jumuiya😀 pia tuwaombee na tuwashukuru kwani bila wao tusingeonekana huku mtaani.
Niliowakwaza mtanisamehe, ni hayo tu.
Kabisa tulioishi na baba na baadae hawakuwepo tunaelewa pengo laoUbarikiwe sana kiongozi kwa kuwaangaliza akina mama esp. Walio na familia iliyokamilika i.e. Baba, Mama na Watoto wasibweteke na kutoiona thamani ya Baba hata kama ni mkorofi - Baba ni baba tuu.
Inawezekana dear ndio maana nikasema nlpamoja na madhaifu Yao lakini Bado wanamchango katika ustaw wa familiaSio wote wanaotunza familia zao wengi wao wanatunza Malaya .
Hata wasifiweje watu mia mie najua sio waaminifu tunaishi nao Kwa imani
Hiyo pesa unamtumia nani sasa100,000 TU ya Kitanzania Kwa JF. Ni ndogo sana kwakua ni mara Moja TU! Miaka ile tulikua unalipa Kwa 12months
Yes , wakuwapiga wake zao , kuwa bughushi na kuwashusha dhamaniInawezekana dear ndio maana nikasema nlpamoja na madhaifu Yao lakini Bado wanamchango katika ustaw wa familia
Amiin amiin nashukuruNakuombea mume mwenye kheri na wewe
Kwa kweli wanaume ni nguzo ya familia
Tunavumilia mengi sana ila mengi yanarekebishika kwa subra ya hali ya juu
Mwanamke aliefunzwa maadili na dini pia hawezi kuchezea familia yake
💯🤝kuna wengine wahatarisha hata maisha yao Ili kuhakikisha mambo yanakuwa sawa lakini kitu kizuri ni kwamba sio wasimualiaji wazuri wa mahangaiko na mateso yao wakati wanafanya hayo.
💯🤝Kwa mliopo kwenye ndoa mjitahidi kuwatia moyo na kuwahurumia pamoja na udhaifu wa waume zenu, lakini inawezekana bila huyo mambo yasingekuwa hivyo unavyoyaona; pia mkumbuke pia hatma za watoto wenu.
Sina experience maah thamani yamtu mwenyew ndo unatengenezaYes , wakuwapiga wake zao , kuwa bughushi na kuwashusha dhamani