Nilichojifunza Nanenane: Kufanya Kazi Halmashauri ni kupoteza muda na kukaribisha umasikini tu

Hapo umezungumzia mfanyakazi wa halmashauri yaani ofisi ya wilaya husika na sio mfanyakazi chini ya halmashauri hiyo! Chukulia mfano mwalimu toka wilaya ya mbarali kijiji cha Mwanavala au muungano au labda wilaya ya Mufundi huko mapanda!
 
Niko hapa Mbeya, Mbeya pazuri noma sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3581]
 
Fwaalaaaa weweeee
Ulivyosiliba
Kwani Tamisenga tumekufanya nini
 
Je kada ya UALIMU?
 
Ukiona Masters yako imeshindwa kufanya kijiji kuwa town,ndugu,hiyo elimu yako haina faida yeyote,temana nalo hilo li-masters lako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji188]

Sent from my itel A662L using JamiiForums mobile app
 
Atakua NTU WA DILI huyo. KATAA?
 
Pia mifumo ya utawala hovyo sana....ni kupoteza fedha....
Eneo Lina mkuu wa mkoa....wilaya.....mkurugenzi.....mbunge.....katibu...n.k.
Wanatumia fedha nyingi.....matokeo hayaonekani😰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…