Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
Anaongoza Kwa muda tuu, zitakapo hesabiwa kura kwa maeneo ambayo Odinga ana ushawishi mkubwa, kuna uwezekano mkubwa hesabu za kura zika badilika mnoo.Nimekuuliza Ruto anayetajwa kwa kashfa nyingi za ufisadi kwa nini anaongoza kwa kura?
kwani hawa matajiri wa tz ukwasi wao hautokani na kuji associate na siasa/wanasiasa?.Kwa kenya wote aliowataja utajiri wao wameupata kwenye uongozi serikalini!!
hapo kwenye degree umekosea, degree zote zilizojaa pale bungeni dodoma na kwenye nafasi mbalimbali za kuteuliwa huko serikalini, zimetufikisha wapi?.Hata huku ifike mahala kuanzia ngazi ya Ubunge, either uwe na account inasoma 5bil ambazo umezipata nje ya siasa au uwe na elimu kuanzia degree na uwe umeshafanya kazi kwa hata miaka 10 kwenye level za utendaji na uongozi.
Kwahyo watoto wa Nyerere ni mabilionea, ni matajiri?Umesema suleiman hakuwa Tajiri alafu unasema alikuwa mtoto wa Mfalme Daudi!
Kuna mfalme mwenye mtoto maskini?
Alafu kwa nini Mungu alipompa ufalme alimuongezea na utajiri? Hujifunzi kitu hapo kuwa huwezi kuwa kiongozi mzuri kama sio tajiri?
Matajiri wa hapa kwetu unaowaongelea ni walitakiwa kuwa GEREZANI Hadi sasa.Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia
Wakenya sio waumini sana wa ngonjera za sijui nichagueni mimi sio mwizi, mimi sio fisadi kwa sababu wanajua watu wanaopenda kujivika hizo sifa sio watu wenye akili za kimaendeleo na hawawezi kuhimiza vizuri maendeleo yao!
Kutoka kwa Jomo Kenyata mpaka kwa Daniel Arap Moi, kuja kwa Kibaki mpaka kwa Uhuru Kenyata na sasa naona Hustler William Ruto anaenda kubeba ndoo.
Wote ni watu wenye ukwasi ambao wako proud na ukwasi wao na wanatumia ukwasi wao kama njia ya ku motivate watu wengine kuwa na ukwasi.
Tanzania tujifunze hili kutoka Kenya mambo ya mtu kujisifia umaskini na kujiona ndo ticket k ya kuwa kiongozi tuachane nayo.
Kuanzia saivi tuanze kuangalia maisha ya mtu kama anajiweza kiuchumi vizuri, ana mali anazoziendesha vizuri, ana nyumba nzuri na ya kisasa na ana biashara nzuri ambayo ana imanage vizuri kama kigezo cha kumpa mtu uongozi.
Suala la kuteua sijui mtu hohehae asiye na mbele wala nyuma huku tukitegemea apandishe uchumi wetu liwe mwisho kuanzia leo.
Watoto wa Nyerere wangekuwa na akili ya kutafuta leo wangekuwa matajiriKwahyo watoto wa Nyerere ni mabilionea, ni matajiri?
Utajiri wa mfalme ni WATU wake kulipa KODI, mbona una uelewa finyu?
Pesa za mgombea za mfukoni haziwezi kusaidia Nchi kutajirika.
Wananchi ndio wenye UTAJIRI na ndio wenye
kuwaajiri viongozi.
Hoja Yako DHAIFU sana.
Tupe ushahidiMatajiri wa hapa kwetu unaowaongelea ni walitakiwa kuwa GEREZANI Hadi sasa.
Kwani Matajiri wote ni Gabachori?Mnataka Rais "Gabachori" siyo?
Biblia huijui, unajua maana ya "RABBON"?Watoto wa Nyerere wangekuwa na a"kili ya kutafuta leo wangekuwa matajiri
Kwa iyo Mungu alimpa dhahabu Suleiman na majumba na mifugo kutokana na watu kulipa kodi? umesoma Quran au biblia ya wapi?
Siasa za Kenya sizitofautishi sana na siasa za Marekani! Wao wanaamini sana katika kumpa nafasi mtu anayeonesha ana uwezo wa kutafuta pesa na kupambana kupata pesa! Ndo mana inawezekana hata kiuchumi wako vizuri kuzidi sisi ingawa na sie tunajikongoja kuwafikia
Wakenya sio waumini sana wa ngonjera za sijui nichagueni mimi sio mwizi, mimi sio fisadi kwa sababu wanajua watu wanaopenda kujivika hizo sifa sio watu wenye akili za kimaendeleo na hawawezi kuhimiza vizuri maendeleo yao!
Kutoka kwa Jomo Kenyata mpaka kwa Daniel Arap Moi, kuja kwa Kibaki mpaka kwa Uhuru Kenyata na sasa naona Hustler William Ruto anaenda kubeba ndoo.
Wote ni watu wenye ukwasi ambao wako proud na ukwasi wao na wanatumia ukwasi wao kama njia ya ku motivate watu wengine kuwa na ukwasi.
Tanzania tujifunze hili kutoka Kenya mambo ya mtu kujisifia umaskini na kujiona ndo ticket k ya kuwa kiongozi tuachane nayo.
Kuanzia saivi tuanze kuangalia maisha ya mtu kama anajiweza kiuchumi vizuri, ana mali anazoziendesha vizuri, ana nyumba nzuri na ya kisasa na ana biashara nzuri ambayo ana imanage vizuri kama kigezo cha kumpa mtu uongozi.
Suala la kuteua sijui mtu hohehae asiye na mbele wala nyuma huku tukitegemea apandishe uchumi wetu liwe mwisho kuanzia leo.
Wewe ndio maana nikakuita mpumbavu.Hujui Caspian ndo wamejenga kile kituo pamoja na nyumba za Polisi za Mikocheni Tanesco na Kunduchi? Unajua Caspian ni kampuni ya nani?
Basi nikusaidie maana inaonekana unapenda kupayuka tu bila kujua vitu! Caspian ni kampuni ya Rostam Aziz
Embu punguza kujianika uzumbukuku wako hapa
Utajiri wao ungekuwa halali iweje pesa wakatunze USWIZI?Tupe ushahidi
Naamua kukudharauWewe ndio maana nikakuita mpumbavu.
Caspian ni contractor Kama walivyo wengine. Kumsifia mmiliki wake kuwa kajenga ni upumbavu.
Kwanza unapaswa ufahamu Majengo yote mapya ya Sasa hujengwa na kuwa na muonekano mzuri. Hata soko la magomeni, kisutu ni mazuri kulinganisha na masoko mengine ya zamani. Mbona hujawasifia wamiliki wa kampuni zilizojenga?? Ni mara mia kusifia serikali iliyokuja na huo mpango wa kujenga kuliko aliyepewa tender akajenga. Kila siku tunasema hapa mama kajenga madarasa mazuri vizuri vijijini, mbona huwasifii mafundi waliojenga?
Majengo ya Dodoma ya serikali yote mapya na Ni mazuri kuliko Majengo ya Dar ya zamani. Mbona hujasema wamiliki wa hizo kampuni za contractors?
Wewe ni zaidi ya mpumbavu
Tupe ushahidi acha manenoUtajiri wao ungekuwa halali iweje pesa wakatunze USWIZI?
Kuna shida gani mtumishi akitajirika kama anatajirika kihalali ? Hiyo mentality ya mtumishi lazima awe masikini umeitoa wapi?Tatizo sio mtu kuwa na mali, bali ni namna alivyoipata hiyo mali. Mtu ambaye adult life yake yote amekuwa mtumishi wa umma hana namna halali ya kuwa billionaire. Labda ashinde bahati nasibu.
Watanzania wanawachukia watu waliotajirika kwa kutumia utumishi wao wa umma kujinufaisha wao na familia zao, which is a betrayal of public trust!
Nikupe ushahidi sio, nikupe ushahidi we kama nani?Tupe ushahidi acha maneno
Kuna shida gani mtumishi akitajirika kama anatajirika kihalali ? Hiyo mentality ya mtumishi lazima awe masikini umeitoa wapi?
Kwa hiyo wewe huna ushahidi alafu unataka mimi nikujibu swali lako?Nikupe ushahidi sio, nikupe ushahidi we kama nani?
Nitajie matajiri 10 tu ambao wamepata utajiri kihalali Tz, wasio na DOA TRA wenye Nia na sifa ya kuwa viongozi.
Umenena !Suleiman mfalme hakuwa TAJIRI aliingia kuwa mfalme akiwa kijana mdogo tena mtoto wa Suria au nyumba ndogo. Hakuna aliye mjua.
Utajiri wake ulikuja baada kuomba HEKIMA na maarifa Kutoka Kwa Mungu. AKAPEWA ndo Dunia nzima AKAITAWALA.
Daudi babaye Suleiman alikuwa MCHUNGAKONDOO, alipakwa mafuta alitokea mbugani akaacha mifugo, alitokea familia ya Yese maskini kabisa.
We usitetee wezi, wauza dawa za kulevya wanayotaka kutakatisha fedha kuukwaa urais watuuze.
Nasisitiza TAJIRI au MASKINI haitoshi kuwa Qualification kuwa KIONGOZI.
Ni zaidi ya hapo.
Ameeeen.