Nilidhani ukiingia mbuga ya wanyama Unaona wanyama kirahisi kumbe napo tabu tupu

kwahiyo ili niwaone niende Mara ngapi? maana hata ile shughuli ya kutelemsha ule mteremko wa creta sina hamu nao tena; Mtelemko ule ni mkali na wa hatari sana sikutamani kurudi tena labda kwa elkopita
Thril is a part of enjoyment mkuu tatizo umeenda na taswira zako kichwa kama una angalia nat geo wild.
Nenda with fresh mind utaenjoy hatar mimi nini mbugani nikisafiri kutoka dar tunduma njia nzima kuanzia mikese na enjoy tu milima uoto wa asili vyakula vya ndege wasioleweka watu na nikipita maeneo ya mbuga hata nikimuona digidig poa tu kwa sababu na apreciate nature na i will never enjoy seeing a lion or leopard in a cage or any enclosure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Mbuga nzuri kuona wanyama wengi kwa mpigo ni Selou NP (wahi kabla Arab Contractors hawajaanza yao). Labda na Saadani
 
Wazungu hua wakiingia huko hawakai siku moja .wanaweka camp kabisa la week hata sasa wew umepita siku moja uwaone wote hao kwan walikua na miadi na ww...afu usikute hata darubin hukua nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
darubini si ni kupimia maralia maabara au ni hadubini?
 
Wanyama Tanzania ni wengi sana mimi kabla sijaenda mbugani nimewaona wakiwa karibu na bara bara nazopita ukielekea Mndalala huko Arusha Twiga,Tembo ,swala,digi digi wengi tuu nilienda huko Emboleti Simanjiro kwa Wamasai Simba wapo na hata hawana madhara kwa Wananchi walio karibu na vijiji jirani nilishangaa sana..huko kuna kanga wa porini kama Mchanga wamasai hao ndege hawawawindi kwa hiyo wamejaa sana na mbuni...
 
Kumbuka huko ni porini sio zoo.Wanyama nso wana shughuli zao mbali mbali zakujitafutia malisho na maficho kwaiyo sio wakati wote utawaona sehemu ya wazi.Kuangsika kuwsona wakiwa maeneo yao ya asili ndo kinschofanya shughuli nzima ya utalii iwe nzuri.
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?

Kwanza nikupe hongera za dhati kwa kutembelea hifadhi zetu...

Pili ...
Maana halisi ya hifadhi ya wanyama pori ni eneo tengefu ambalo wanyama wanaishi kwa uasili wao kwa maana fupi ...Wanaishi kama Mungu alivyowaumba waishi katika mazingira yao...

Hivyo kutowaona wanyama hao sio kwamba hawapo hapana walikua eneo ambalo wewe haukuweza kufika...Na hawazuiwi kwenda kokote..

Pia barabara za utalii huwa zinapita eneo dogo sana la hifadhi na barabara hizo ziliwekwa kwasababu ilionekana maeneo hayo wanyama wanapenda kuwapo.

Hivyo kuna eneo kubwa sana ambalo wanyama wapo ila hakuna barabara za kupita watalii...

Kingine. . Kwenda katika hifadhi sio kuona wanyama tu bali hata kuangalia mazingira asili ambayo tangu kuumbwa kwa dunia hayaja ingiliwa na shughuli za kibinaadam....

Wenzetu toka ulaya na nje ya tanzania wanakuja na malengo ya kuona list nzima ya big 5 na unakuta amejiandaa akiwakosa leo ataenda kesho hata na kesho kutwa.. mpaka atawapata..

Hifadhi zetu tanzania ndio sehem chache dunia ambazo utakuta kunawanyama wengi wa asili.

Ushauri: Endapo kama unatembelea hifadhi yoyote mueleze muongoza wageni unataka kuona mnyama gani hasa au wanyama gani? Ili mkikosa siku ya kwanza mnaweza kwenda siku ya pili...

NB:Hifadhi za taifa na ngorongoro conservation area ni tofauti na zoo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Ungempa guide hata elfu 30 ya tip angekupeleka machaka yote yenye wanyama sema FARU wanawaficha kwasababu majangiri wanaogopa watawawinda so huwa hawawaoneshi walipo sema guide mmoja aliwai kuniambia namba ya FARU inaongezeka wamezuiwa hata kutaja FARU walioongezeka wapo wangapi
 
duh kazi kumbe
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Nenda serengeti. Utakimbia!
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Kwa marekebishi kidogo, Ngorongoro siyo National Park bali ni Conservation area.

Kifupi kila hifadhi ina wanyama wa aina fulani ambao ndio wanaiuza hiyo hifadhi.

Mfano:
Husitegemee kuona Twiga Ngorongoro Crater.

Kama unataka kuona wanyama fulani, tembelea hifadhi hizi:
- Tembo - Tembelea Tarangire, Manyara na Ngorongoro
- Twiga - Tembelea Arusha, Tarangire na Manyara
- Faru - Tembelea Ngorongoro na Serengeti
- Chui - Ngorongoro,Serengeti
-Duma - Tembelea Tarangire, Ngorongoro, Serengeti

NB:
Hawa wanyama hawako kwenye zoo, hivyo wanatembea toka sehemu moja kwenda sehemu nyingine, kwa hiyo si lazima kama mtu aliwaona point fulani, nawe ukuienda point hiyo uwakute.
 
Hivi majuzi nilibahatika kufika Ngorongoro National Park eneo la Crater; nikitarajia kuona wanyama wakubwa kwa ufasaha kama inavyosimuliwa kwenye movie mbalimbali za wanyama.

Niseme kwa dhati kabisa baada ya kuzungushwa mda mrefu niliambulia kuona nyati, kiboko, digidigi, punda na ndege flamingo. Lakini Tembo nilioneshwa miguu tu walipokanyaga sikuwaona, simba nao nilioneshwa kwa mbaali sana tena wawili tu wadogo kama mbwa, nikaoneshwa kichaka cha Faru wanamopenda kukaa lakini sikuona!

Kiufupi roho yangu haikuridhika kabisa bora ningeangalia movie tu!

Matarajio yangu nilizani nitaona Faru, chui, twiga, Tembo na wanyama wengine kirahisi kumbe sio kazi rahisi kama nilivyotarajia.

Nifanyeje Next time ili niwaone wanyama kiufasaha kama tusimiliwavyo?
Dmkali, unapoenda ngorongoro matarajio ni kuona hilo bonde/crater na sio wanyama wengi. Ulitakiwa uende serengeti ungefaidi, siku nyingine omba ushauri kabla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka kuwaona weka appointment, wana maisha yao na wanavyowindwa wengi hujificha.... na sio wengi kama unavyoona kwenye filamu.

Usile Mbegu.
Aweke appointment na hao wanyama au wanaotakiwa kumtembeza huko mbugani?

Bichwa langu gumu kidogo kuelewa.
 
Sikuifurahia ile safari..... Nakumbuka kabisa. Nilijiona nimekwenda kuchoka zaidi.
Aise mmenikatisha tamaa, nilikuwa na interest za kutembelea mbugani hasa hzo za North mwisho wa mwaka sasa roho isije ikaniuma na mimi niende halafu nisimuone Assad [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom