124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Thril is a part of enjoyment mkuu tatizo umeenda na taswira zako kichwa kama una angalia nat geo wild.kwahiyo ili niwaone niende Mara ngapi? maana hata ile shughuli ya kutelemsha ule mteremko wa creta sina hamu nao tena; Mtelemko ule ni mkali na wa hatari sana sikutamani kurudi tena labda kwa elkopita
Nenda with fresh mind utaenjoy hatar mimi nini mbugani nikisafiri kutoka dar tunduma njia nzima kuanzia mikese na enjoy tu milima uoto wa asili vyakula vya ndege wasioleweka watu na nikipita maeneo ya mbuga hata nikimuona digidig poa tu kwa sababu na apreciate nature na i will never enjoy seeing a lion or leopard in a cage or any enclosure
Sent using Jamii Forums mobile app