Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilie mtoa bikra hata taa hakutaka iwe ina mmurika huyu yupo beach tena na bikini 👙.
 
So bikira yake iko sokoni?

At 24 i was still virgin sikuona jipya🙄

Huyo upuuzi auongelee uko ulaya huku africa hana soko na vile hana takle, kaka zetu wa kiafrica ninao wajua nasubiri comments zenu plz.
Yeye aendelee tu kuiota hio million 700 ambshj
 
So bikira yake iko sokoni?

At 24 i was still virgin sikuona jipya🙄

Huyo upuuzi auongelee uko ulaya huku africa hana soko na vile hana takle, kaka zetu wa kiafrica ninao wajua nasubiri comments zenu plz.
Kwahiyo sura hata mimi ningempita tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…