Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Siwez kwanza mm sio muumini wa vitu vikubwa
 
NImeona🤣🤣 kuna mlemavu tulikua tunaishi nae
Enzi hizo anauza magazeti na karanga
Akimaliza tuu biashara hela anaenda kuosha kurungu
🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa sio wa kusaidiwa kabisaaa
 
Mambo iwa. Ushahidi Ila nimefuta namba
Huyo hukupaswa hata kwenda naye safari ndefu hivyo ya mazungumzo sababu hapo ni lazima atarudi akijipanga kwa hiyo ya kwa vitendo yako uliyosema akuonyeshe.

We ulipaswa kumpa jibu moja kavu kisha unamblock kesho akija unajifanya kama humjui wala kuwahi kumuona.

Hata njia angebadili.
 
Nilimpa huu ushauri mleta mada,ila akaniona Mimi ni kama adui kwake.
 
Siwez kwanza mm sio muumini wa vitu vikubwa
basi mchane live akuache lakin ucje kutema cheche ukisema peleka ulemavu wako huko no, wewe mwambie tu wewe mbaba cjui mbabu nakuomba heshma ifuate mkondo na usimwambie mbele ya watu au kwene simu no, muite hata mtoke lunch afu umuambie mopak amesema siku utanipgia au kunsms atakunyofoa mikono ukae utulie. After hapo wewe endelea na biashara zako.
 
Nobody's businesses kwa hio nani wa kulaumiwa hapo ni mimi au ni wewe?
 
Haha sasa ananiambia ananipenda maneno tupu?? Af ni njia ya kumkimbiza. me naomba kwa halali. Nina biashara japo sio kubwa Sana Ila Angalau inanipa kipato cha kula nikashiba
Wee hujui tu my dear wale wanapata hela hatari.

Kwenye hilo akiamua makusanyo ya siku nzima akuletee je utakataa?

Ile si kauli ya kumfukuza bali ni kama imemwambia ajipange. Lol.
 
Unajua nini ila sio vizuri kabiisa yaan na haipendezi unajifanya mlemavu unaendeshwa kwenye kibaiskeli ili tu umchojoe nguo huyu dada nguo zake na kumla nono yake wakati pesa zenyewe unaombaomba tu huko kweli na hauna miguu utamuweza?

Hivi nyinyi mnasikia raha gani tukiandika km hivyo?

Mimi ninaamini sio wote wenye ulemavu wa viungo ni masikini wengine ni maumbile tu ya mwili ila si kwamba wanatoka kwenye hali ya umasikini naomba tuwekane sawa hapo sio wote namaanisha sio wote hapa hakuna suala la ngono hio ngono inakuja baadae ila tunaanza na issue ya mhusika maana mimi na wewe hatujui kesho yetu labda ndio walemavu wa kesho kwa hio muda huu tusiutumie kuwasema vibaya na kufanya kua wote ndio wale wale wote ombaomba tu hao wamelemaa kazi kubwa kuombaomba tu kuchukua hela kisha wanaenda kuhonga cacutee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…