NI NCHI IPI AMBAYO WAZUNGU WAMEISHI KAMA WAKOLONI ILIENDELEA? HIZO ZILIZOKALIWA MOJA KWA MOJA NAO NDIO WAMEZIENDELEZA VINGINEVYO NI KUVUNA NA KUPELEKA KINGI KWAO NA KUBAKIZA KIDOGO KUENDELEZA NCHI.Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.
1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.
2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.
3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.
4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.
5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.
6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
"The concept of primitive accumulation of wealth refers to the historical process by which wealth and capital were initially concentrated in the hands of a few"Ukweli mchungu,ingawa Nyerere kuwaondoa wazungu bado alikuwa sahihi,shida ni ulafi wa viongozi wetu,wanataka kuwa viongozi ili washibishe matumbo yao na sio kuendeleza nchi....
Ebu tupia tupicha hapaWakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA.
1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100.
2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika ardhi yetu.
3. Upende usipende, Wazungu wametuzidi akili na maarifa ukitaka kujua hilo, tembelea mgodi wa GGM tu uone trailer, sasa Australia kuna migodi niliingia nikaishia kusema tu aaaah kmmk walai.
4. Mwisho kabisa naamini haikuwa sahihi kwa mwajiri kutupeleka Australia kujifunza, pale alipoteza gharama zake bure, sisi hatujafikia wala sioni tukifikia huko ila asanteni kwa exposure.
5. Operators wa mitambo ya migodini tembeleeni seek.com.au tafuteni deals japo si rahisi ila ukipata unaenda kuishi dunia nyingine kabisa kmmk.
6. NYERERE ASINGEWAFUKUZA WAZUNGU TUNGEKUWA MBALI SANA, KISWAHILI KIKATUZIKA KABISA.
Mkuu na wewe naona umejibu kwa jazba tuu,sasa hapo dini imeingiaje?Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Kivipi?Ngozi nyeusi ni ishara ya laana
Kwa inakiri kuwa mzee alikurupuka?Republic (yetu)ilipaswa kuanzishwa kwa referendum.
Heri mie kumbaff kuliko wewe zwazwaWe nawe ni punbaf, yaani aache kushangaa australia akashangae sharjah? Huna ujualo
Ukifikiri vizuri unakuja kugundua kua hiyo sababu ya dini ni ya uongo, dini tunaisingizia tu.Mkuu na wewe naona umejibu kwa jazba tuu,sasa hapo dini imeingiaje?
Hao china ,japan wana dini zao ila wameendelea,je dini zimewakwamisha?
Canada,USA, UK wana dini na wengi ni wakristo wanamaendeleo hapo sijazitaja sweden,Norway n.k.
Nimeona umegusia point moja ambayo ni ya msingi,kukosa viongozi wenye moyo wa kujenga nchi/Afrika
na sisi tumeishia kumsifia anayekuibia kisha akakupa pombe na biscuit. Tukivuka hatua hii tutashinda pakubwa.
Nilikua naongea na Mzungu mmoja alisema ninyi mna bandari harafu Nchi zote zinazowazungukq zinategemea bandari yenu ila Trucks kuingia Tanzania ni kama nayo ni bidhaa hiyo kodi yake pamoja na bara bara ndogo na mbovu kutoka Daslm mpaka Tunduma akili yenu imedumaa sana...yaani vile vitu vinavyotakiwa kuwasaidia Nchi ipate pesa ninyi ndio mnavipa kodi ya hatari wakati hivyo vitu vikiwepo mapato yatapatikana kwa kutoa mizigo mingi huko Bandarini na kwa wakati nikabaki kusema sawa tu..Miaka 400 juzi tu? Sisi tuko nyuma miaka 1500+ sema kinachotusaidia ni huu muingiliano na wazungu kutuletea teknolojia na miundombinu. Kiakili bado tuko zama za mawe za kale..!
Kwa akili zipi tulizonazo mkuu? Tuache kutafuta kichaka cha kujificha, hatuna uwezo wala akili za kuwafikia, hatuna innovation yoyote ya kutufanya tuwafikie na hata tuachwe tujitafute for 100yrs hatuna huo uwezo. Labda tuwe land-locked, kissingie chochote kwa namna yoyote, huenda ndio tutaamka usingizi wa pono.Ukifika nchi kama Kanada utasema nini mwanangu? Huna haja ya kutudhalilisha kwa ushamba wako. Waafrika tuna akili ila ukoloni ulituchelewesha. Kuna siku tutawafikia tutakapopata viongozi na si chawa na wafuga chawa. Ulishafika Dubai au Sharjah, Manama na kwingineko au China? Hawa nao ni wazungu au ujinga na kutokujiamini kwako? Kifupi, tutakapoacha kushobokea ujinga kama dini na mila za kigeni, tutawakamata haraka tu.
Muulize na Ethiopia ilitawaliwa?