Men! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.
Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.
Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.
Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.
Kabisa mkuu,kusafiri ni elimu tosha kabisa,wenzetu kenya na west africa wabasafiri sana ndio maana wananchi wao akili zimeamka,uhamiaji wanafanya kusudi ili tusiamke,na hao viongozi wanafanya ujinga wakijua tumelala,Unajua Mkuu, kama watanzania wangekuwa watu wa kusafiri nje ya nchi kwa wingi tungepata mabadiliko ya kifikra zaidi kuliko kutegenea TV picha mgando na video. Uhamiaji nao wanachangia kuweka vikwazo watu wapate pasi wakajifunze ilmu Dunia 😁 !.
Wanaotoka sana ni viongozi ambao licha ya kupata fursa ya kujifunza mazuri ya nje, wanaishia kujenga mahekalu na kuboresha makazi yao tu. Ubinafsi ufisadi na uroho wa madaraka ndio sala.
Lema yuko sahihi kwenye angalizo lake ingependeza sana viongozi wote wenye uzoefu na safari za nje wakafunguka pia.
Kwa upande fulani ji jelele kwa upande mwingine ndio amsha amsha ya jiji tofauto na mikoa mingine nilishangaa mwanza ukienda makoroboi na lango lango machinga wanauza vitu kimya kimya kama wamelowa na mvua.wakija karume hawatoamini masikio na macho yaohasa daressalaam ni ovyo sana makelele muuza maji ya kunywa anatumia kipaaza sauti, mwenye stationary anatumia kipaaza sauti , muuza mitumba anatumia kipaza sauti bado bodaboda kupiga mziki kwa kelele bado daladala miziki yao kelele bado waimbaji wa nyimbo za kwaya maspika makubwa NEMC wako wapi? ukiwa unasafiri kuelekea mikoani ukianza kufika kibaha tu unaanza kusikia raha na hali ya hewa tofauti kabisa, hivi mbona wahindi biashara zao hawatumii kipaza sauti na wanapata wateja
Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Masikini akipata husahau hata k
Watz umaskini na uchafu kwenu ni ufahari,miji yetu ni hovyo kabisaMasikini akipata husahau hata kwao
[emoji2][emoji2][emoji28]Lema amezidi.
Anashambulia mpaka ugali. Ugali!? [emoji15]
Kwa hili sitamsamehe kwa kweli.
Anataka Wasukuma tule nini? Burger ama? [emoji51][emoji51]
View attachment 2543587
Chakula cha mifugo huko ulayaLema amezidi.
Anashambulia mpaka ugali. Ugali!? [emoji15]
Kwa hili sitamsamehe kwa kweli.
Anataka Wasukuma tule nini? Burger ama? [emoji51][emoji51]
View attachment 2543587
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee pole mkuuMen! Siyo siri Bongo ni kuchafu! Harufu mbaya manoise kibao, majungu na kufuatilia mambo yasiyowahusu.
Men! siku moja nimeenda bush kumuona babu, kukawa namsiba kwa jirani. Tumeenda kwenye msiba tukakuta wanachimba kaburi.
Naona watu wananyang'anyana tools za kuchimbia, nikadhani wamelipwa kuchimba kumbe ni kazi ya kijamii.
Kumbe wameninote, jioni baada ya kuzika nikawekewa kikao kwamba nimedharau wazee sikuchimba kaburi, na hata kuzika maana hata kwenye mazishi bado watu walikuwa wananyang'anyana tools kuzika.
Wakanilipisha gallon 10 za pombe na kilo 10 za sukari, nikaleta gallon 20 za pombe na sukari kilo 20, bado wakawaka tena eti nimewadharau.
Juhidi zilitakiwa zifanywe na serikali ya Nyerere baada ya kupata uhuru,alishindwa hata kuwakodisha wazungu watupangie miji yetu,Wewe umefanya juhudi ipi ili kwako kuwe kama uswis? Acha matusi kwenu ni kwenu.
Sio kwamba amesahau hiyo hali hata mimi ilishanitokeaMasikini akipata husahau hata kwao