Nilitongoza idadi ya wadada kumi Facebook hakuna aliyekubali tuonane bila kumpa hela

Endelea kutoa hela ili uonane na wengi zaidi,akili kumkichwa Ndugu!shauri yako
 
Tongoza hela sasa huyo ndiyo pisi yenyewe kama wote hao hawawezi kuonana na wewe bila huyo usihangaike tena. Wewe tongoza "money" kwanza.
Mimi niwe na hela nisiwe nazo, manzi ambaye ataonesha kuzipenda pesa sana namwona punguani
 
Atleast wewe mzee umeongea ukweli kuna wajinga wanaume wazima kabisa ya naona sawa kununua papa. Shenzi kabisa.

Unauziwa kitu ambacho muuzaji anabaki nacho?
 
Hakuna asitoa hela ila anachozungumzia mtoa mada ni mazingira ya uombwaji hakuna demu anayejielewa na mwenye heshima akakuomba siku ya Kwanza tu huyo ni Malaya jaribu kutofautisha manzi wa kawaida yule wa kuoa na Malaya
Je, kwani hao wanawake wa Facebook sio hawa hawa wa mitaani? Mbona mnataka kufanya wanawake wa mitandaoni kama mashetani wakati, hata mtaani tu kutongoza kwenyewe ni yale yale.
 
Nimesema hayo nikiwa nimependa specific kwa wanawake wenye staha, sio wale ambao ukiangalia profile zao, ndo zile za kudanga danga.. Hawa ni watu ambao mtu ana post yuko kanisani, ofisini, yaani huwezi dhani kuwa wanaweza kuwa na maisha ya njaa njaa kumbe ni wale wale tu
 
Mkuu siku nyingine usitongoze mademu wewe tega tu mitego huwa wanakuja kichwa kichwa wenyewe wazee wa 9t stand najua tunapatana
Ni sawa, ila nataka kutoa somo waache kudhani kuona huo ni ujanja bali ni ujinga wa kutupwa kabisa
 
Na mwanamke mlafi ndiye mbaya sana

Wote tunajione chura kiziwi anavyo fanya kuwa tesa watanzania kwa ajili ya madaraka, ila uongozi wa kijinga, kutwa michambo na maneno ya shombo wakati maendeleo ya wananchi zero.

Mwanamke ambaye ninmlafi wa hela na mali ni mbaya kuliko shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…