Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Story fupi fupi kazi kuzisoma,nimeishia page ya nyuma.
Siku nikikutana na uzi huu nitaendelea
 
Hapo mbona sijaona ukatili zaidi ya wewe kutotak kuendelea naye. Watu wanaachana kwa kuchapana matukio mpaka mtaa unasimama
 
Umetuponda sana wasukuma rafiki yangu wa kienyejiπŸ˜€

Tuombe msamaha katika hili tutakuloga uote BUSHA
Naomba nikuhakikishie ndugu wa kienyeji hata kwa mabomu ya machozi msamaha siwaombi ng’oooβ€¦πŸ˜πŸ˜

Ongea na ndugu żako huko kijijini wakienyeji waache upuuzi wakiwa sehemu yenye mkusanyiko wa watu wengi.😏😏😏

Mzima lakini wakienyeji?nimekumiss ujue😎
 
Imeniuma sana , unalisema kabila langu rafiki.
Wasukuma ndo urithi wa taifa tuliobakiwa nao. Bandari, Mbuga na misitu, samia ameshauza kwa warabu.
Wasukuma ndo kimebakia kitu cha kujivunia, hivyo waheshimiwe na kulindwa.
 
πŸ˜‚
 
Aaliyyah umewaza nini mamii mpaka umekuja na hii story yako?
Nilikuwa naongea na rafikiyngu akawa ananitania Nina ugonjwa wa kupenda 🀣🀣🀣
Nikakumbuka Jinsi busu tu lilivonifanya niwe nalia kama nimefiwa 🀣
Ndo nikaleta hiyo story
 
Nilikuwa naongea na rafikiyngu akawa ananitania Nina ugonjwa wa kupenda 🀣🀣🀣
Nikakumbuka Jinsi busu tu lilivonifanya niwe nalia kama nimefiwa 🀣
Ndo nikaleta hiyo story
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… me nilivyoona hivyo nikaona umepata mchumba unayempenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…