T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikuhakikishie ndugu wa kienyeji hata kwa mabomu ya machozi msamaha siwaombi ng’ooo…😁😁Umetuponda sana wasukuma rafiki yangu wa kienyeji😀
Tuombe msamaha katika hili tutakuloga uote BUSHA
😂😂😀😀😀😃😃 Kwahiyo wasukuma sio watu
Wasukuma ndo urithi wa taifa tuliobakiwa nao. Bandari, Mbuga na misitu, samia ameshauza kwa warabu.Imeniuma sana , unalisema kabila langu rafiki.
Lazy eyes wazamani Dr H hapa huu uzi ndio umeisha?.Umesoma jina la jukwaa lakini ndugu yangu 😂😂😂walio serious wapo jukwaa la siasa
Usilete...utaniua kwa pressureSijaliwa na H mkuu nimeokoka nampenda Yesu
Alafu siwez kuwaletea story za kuliwa jf hata iweje haitokas itokee
😂Hakula alafu H nae alikuwa mgeni kwenye game alinambia hivo na sikuwa nimewahi hivo suala la kuambiwa nimelala na mwanaume mwingine lilimuumiza akajua nimvunjwa usiku ule wakati alitaka aonje yeye wa kwanza na yeye hakuwa amewah ananisubiri mm tukavunjane. 😂😂😂
Aaliyyah umewaza nini mamii mpaka umekuja na hii story yako?😂😂😂😂😂Sorry jamn
Leta manenoUna pressure?😀😀😀
Siwez leta hizo story hapa yani naanzaje kwanza 😀😀 Sina huo ujasiri
😅😅😅😅 me nilivyoona hivyo nikaona umepata mchumba unayempendaNilikuwa naongea na rafikiyngu akawa ananitania Nina ugonjwa wa kupenda 🤣🤣🤣
Nikakumbuka Jinsi busu tu lilivonifanya niwe nalia kama nimefiwa 🤣
Ndo nikaleta hiyo story