Nimeona tu hizo pigo za kuchekeana chekeana.. mara tukutane chini ya miti..Alafu mpenz wangu alikuwa mseminary Yani pasta myarajiwa ππ
Easy Easy Easy!Hili kabila bhana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]juzi niko kwenye bus kwenda sehemu fulani,nimekaa na msukuma seat moja ghafla wakaanza kuongea kilugha na msukuma mwenzie aliyeseat ya 50 [emoji15][emoji15][emoji15]wakati huo tuko seat 20 huko aise Nilitamani nimzabue makonzi phaller yule maana alishanikwaza na mziki wake tangu tunaanza safari[emoji18].
Hili kabila inabidi liwe kundi maalum shenzi kabisa
Sababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yotekumbukumbu zote hiz unazo kichwani π,, enewei nisubir endelezo mie
Eeeh m mwenyewe sinywi pombe ila siwezi kumbuka ivo weeeeeeeSababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
Dah masikini mapenzi kumanyoko yaani hapo bado hata kobelo haujaliona ila unalia ? Mungu fundi bwanaUsiku ule sikulala vizuri Yani niliwaza sana mabadiliko Yale sio ya kawaida nilipoamka kilamda naangalia Kwa kina Irene labda nitamuona H sikumuona nikaenda kuulizia wakasema hajaja jioni yake kulikuwa na sherehw nyumba ya jirani kama saa mbili hivi nikamuomba mama nikaangalie akasema sawa
Akiliyangu nawaza huenda H atakuja sikuile nikaangalia sikumuona akaja kaka mmoja wa pale mtaani alikuwa ananiaproach wakat huo
Akanisemesha nikamjibu alisimama na mm pale kama dakika 10 hivi nikaondoka kurudi nyumbani
Huku roho inaniuma sijamuona H
Asubuhi siku ilofuata nikaenda.kwa rafiki yangu nikamsimulia H alivokuja akasema alimpigia pia H ananipenda Sana,nikafurahi kusikia hivo π nikajipa moyo Atakuja sikuile nikaazima.simu nikambeep akapiga akasema atakuja nikafurahi akanambia anikute wapi
Nikawahi sana maana sikuwa na simu mara akafika tukakaa ila ni kama hakuwa sawa
Ilikuwa ni sehemu ya wazi hivo hakiweza kunikumbatia hakuwa na story kabisa kama nilivozoea
Mimi;mbona kama unaumwa
H;nikopoa
Mimi;sawa
H;unajua kama nakupenda sana wewe
Mimi;najua
H;umefanya Nini Jana
Nikasema uwiii wambea wa Kijiji washafanya Yao π
Mimi;hakuna kitu Kuna Nini
H;kunamtu ulikuwa nae Jana ni mwanaume wako?chozi likamtoka
Mimi;nikasema hapana
. Nikakumbuka yule kaka alikuja simama na mm pale kwenye sherehe na sikukaa nikarudia kulala
H;akasema kaambiwa yote Jana nilitoka na yule mtu nikaenda kulala nae nikarud nyumbani saa 4 usiku πππ
Aiseeilikuwa kama kisu kinapita kwenye moyo na sikuwaga na ujasiri wa kujitetea Kila nikitaka kusema Kama nimekabwa maneno hayotoki machozi ndo yanakuja
H akasimama akaondoka akaniacha pale nikaondoka nikaenda kwa Irene nikaanza kulia Tena πππnililia sana Irene akasema atampigia niongee nae
Nikasema nasubir sikuweza kula Wala kunywa maji sikuile jioni Irene akasema kaweka vocha tumpigie
Umeikosea Sana pombe mdogo wangu ,usirudie tenaSababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
Ungejieleza vizuri tu bila kuidhalilisha pombe & bangi ungeelewekasinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau
πππUngejieleza vizuri tu bila kuidhalilisha pombe & bangi ungeeleweka
Au nadanganyaπππ
πMbona huliwi, au story imeishia hapaAkampigia
Irene akamsalimia akanipa simu
H;mambo
Mimi;poa Ile kinyonge
H;unasemaje
Mimi;nataka kukuelezea ilivokuwa
H; sitaki kusikia umeniumiza sana umevunja uamninifu kama unamtu si ungenambia kwanini unidanganye mim na wewe ndio basi na kesho naondoka siwez kukaa hapa na maumivu kiasi hiki na hutaniona Tena
Niliangua kilio kama nimefiwa nikawachukia watu sana hakusinisikiliza akakata na simu
Nilijiuliza hiyo story zilimfikiaje sikukaa pale hata dakika 10 nikajita kwenda pale nikajuta kuongea na yule kaka nilimchukia kupita kiasi
H akaondoka kweli hakutaka kuniona nikatuma barua hazikujibiwa nilihangaika sana Sasa kilichonitesa ni hisia zile moment zilinichanganya kuachwa ghafla kukanitesa kila nikipata memory kuhus H nahis naishiwa nguvu napata hali flan isiyo ya kawaida kwenye mwili Ni kama napigwa shot πππKila ikifika usiku naamka nakaa kitandani naanza kuliaπππ
Siku moja mamaang akanikuta nimeangua kilio balaa akasonya akaondoka
Kutoka wakat huo nikajua hisia zinatesa kuliko hata hayo mapenzi yenyew Ile hali ya kushindwa kujitetea na kutosikilizwa ilinitesa sana nilikuwa natamni aje nimwambie ila namuonea wapi nae hakutaka kabisa kurudi alivofanya mtihani akaenda Kwa nduguzake wengine Irene akasema nimuache tu Aishi maishayake
HapanaAu nadanganya
Story imeisha?Akampigia

Hapa umetulisha matango pori live bila chengaSikuliwa mkuu πππ niliachwa kabla sijaliwa