Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
- Thread starter
- #161
Ni kawaida mkuu 😂Hapana mimi mzigo ningeuacha kwa kweli😀
Ila inaonyesha wewe Aaliyyah ni mwanamke mrembo,mzuri na msafi wa mwili na roho
Nikirejea kwa mkuu wa shule na huyo H wako kukupenda😀
Najiaminisha kuwa wewe ni mali safi na bando changa kabisa mkuu😀
Lishangazi kimoja hivi lisilokuwa na Hela 😀😀😀