We tulia na Bunji usije ukaleta kesh kesh za Bukoba ngojea nimuwinde toto la pwani Aaliyyah .Baki na wake zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tulia na Bunji usije ukaleta kesh kesh za Bukoba ngojea nimuwinde toto la pwani Aaliyyah .Baki na wake zako
😂😂🙌Me mama yangu Yuko tofauti😂😂😂😂😂😂alikuaga ananihurumia Sana Yani tunaumia wote
Maskini H yeye ndo alikua victim Na wewe ndo uliemuumiza jamaniBaada ya kunibembeleza nikamwambia tutaongea vizuri siku nyingine sikuwa na muda mrefu wa kukaa nae pale akaondoka wakat huo tushakuwa wakubwa na nilishakuwa na moyo mgumu sikuwaga na huruma kabisa na H
Akaja siku ya pili nikaongea nae safi nikaanza kumuita na bby akawa anafurahi mno nilikuwa ukimya ungepungua kias nilikuwa nampigisha story anacheka anafurahi sana
Nikagundua alikuwa na msichana wakaachana lakini hakuwaha mtu wa mambo mengi kama vijana wengine ilichukua wiki 2 kumjaza kuwa Bado nampenda Sana akajaa mawasiliano non stop tukapanga mizagamuano na H
Nakumbuka Ilikuwa mida ya saa moja jion tukatoka
Tukaenda sehemu akaja na zawadi kitu ambacho sikukosea ni kupendeza kias attention Ilikuwa kwangu mda wote kama saa 3 tukabook room tukaingia ndani nikakaa kwenye kochi nilishapanga kufanya shambuliz la kushtukiza
Tangu kuachana had sikueile sikuwa na hisia nae kabisa akinibusu nilikuwa naona ni kama ananifinya alinifata pale kochi
Mimi;naomba tuongee
H;niambie bby alikuwa anapenda kuniita jinalangu Kwa kifupi mara nying
Mimi;naomba kuondoka Niende nyumbani
H;kwaniin kipenz unaumwa
Mimi;nikamwambia nimegundua Sina hisia na wewe kabisa kama zamani
ndugu zangu hapo ni mkavu kuliko anavonijua
Alikaa kimya kama dakika 5 akaanza kulalmika msamaha ukageuka akaanza kuomba yeye muda huo nilikuwa simuangalii usoni maana ningemhurumia
Akaniuliza kweli huna hisia na Mimi nikamjibu ni kweli Sina
alafu ninasauti flan hiv nikimwambia mtu simtaki hawez kuamini 😂😂😂
Muda huo Bado nipo kwenye kochi
Yeye alikaa kitandani akasimama nami nikasimama nikawahi kufungua mlango 😀😀😀
Ukweli sikuwa na hisia nae Tena ni miaka mingi tangu tuachane nilishamove on
Sikutaka kujua ilikuwaje ila alikuwa ananipigia sikupokea
Akaanza kutuma sms za kulalamika nikamwambia ndio imeisha hiyo kipind hiko nilikuwa na mtu ananipenda balaa sikuwaza kuhusu H Tena
Story ndio imeisha hapo 😍😍😍
Hamisi sio Mwashambwa.😁Una uhakika H hakula tunda? Mbona alikuacha ghafla kwa kisa kidunchu🤔
Wanafaidi yaliyomo😂😂Wanafaid nn sasa
🤣🤣Ila LuchaKawaida Hata mimi mpenzi wangu wa kwanza ni Fetty mawenge yeye ndo alianza kuniambia ananipenda mi nilikua mgeni kwenye mapenzi nikamwambia anipe muda nimfikirie niliogopa kukubali harakaharaka ili asinione ni kijana muhuni
Wewe tena !Nawahi siti
Ni helmet sio elementNi classmate sio classment jamani.
Umefata nini huku MMU!🙄Wewe tena !
Yaani sijui huwa inakuaje sielewi. Afadhali mtu ambaye hajasoma aseme hivyo naweza elewa..unaweza kukuta kafika chuo kikuu .Ni helmet sio element
Nilipotea njia kidogo, narudi maskani kwangu karibu.Umefata nini huku MMU!🙄
Nakuja huko tugombaneNilipotea njia kidogo, narudi maskani kwangu karibu.