Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Baada ya kunibembeleza nikamwambia tutaongea vizuri siku nyingine sikuwa na muda mrefu wa kukaa nae pale akaondoka wakat huo tushakuwa wakubwa na nilishakuwa na moyo mgumu sikuwaga na huruma kabisa na H

Akaja siku ya pili nikaongea nae safi nikaanza kumuita na bby akawa anafurahi mno nilikuwa ukimya ungepungua kias nilikuwa nampigisha story anacheka anafurahi sana

Nikagundua alikuwa na msichana wakaachana lakini hakuwaha mtu wa mambo mengi kama vijana wengine ilichukua wiki 2 kumjaza kuwa Bado nampenda Sana akajaa mawasiliano non stop tukapanga mizagamuano na H
Nakumbuka Ilikuwa mida ya saa moja jion tukatoka

Tukaenda sehemu akaja na zawadi kitu ambacho sikukosea ni kupendeza kias attention Ilikuwa kwangu mda wote kama saa 3 tukabook room tukaingia ndani nikakaa kwenye kochi nilishapanga kufanya shambuliz la kushtukiza

Tangu kuachana had sikueile sikuwa na hisia nae kabisa akinibusu nilikuwa naona ni kama ananifinya alinifata pale kochi
Mimi;naomba tuongee
H;niambie bby alikuwa anapenda kuniita jinalangu Kwa kifupi mara nying
Mimi;naomba kuondoka Niende nyumbani
H;kwaniin kipenz unaumwa
Mimi;nikamwambia nimegundua Sina hisia na wewe kabisa kama zamani

ndugu zangu hapo ni mkavu kuliko anavonijua
Alikaa kimya kama dakika 5 akaanza kulalmika msamaha ukageuka akaanza kuomba yeye muda huo nilikuwa simuangalii usoni maana ningemhurumia
Akaniuliza kweli huna hisia na Mimi nikamjibu ni kweli Sina

alafu ninasauti flan hiv nikimwambia mtu simtaki hawez kuamini 😂😂😂
Muda huo Bado nipo kwenye kochi

Yeye alikaa kitandani akasimama nami nikasimama nikawahi kufungua mlango 😀😀😀
Ukweli sikuwa na hisia nae Tena ni miaka mingi tangu tuachane nilishamove on

Sikutaka kujua ilikuwaje ila alikuwa ananipigia sikupokea
Akaanza kutuma sms za kulalamika nikamwambia ndio imeisha hiyo kipind hiko nilikuwa na mtu ananipenda balaa sikuwaza kuhusu H Tena
Story ndio imeisha hapo 😍😍😍
Maskini H yeye ndo alikua victim Na wewe ndo uliemuumiza jamani
 
Kawaida Hata mimi mpenzi wangu wa kwanza ni Fetty mawenge yeye ndo alianza kuniambia ananipenda mi nilikua mgeni kwenye mapenzi nikamwambia anipe muda nimfikirie niliogopa kukubali harakaharaka ili asinione ni kijana muhuni
🤣🤣Ila Lucha
 
Back
Top Bottom