Niliwahi kuelezea nguvu ya Kanisa Katoliki katika Siasa za Tanzania nikadhihakiwa, sasa taratibu nadhani tutaelewana tu!

Je na Mungu ni Mungu wa Wakatoliki tu? Lakini iwe kweli isiwe kweli Mfalme wa Dunia hii ni Shetani na mengineyo ni kujilisha upepo tu. Sisi wengine kusudi letu ni kuishi na Kristo Mbiguni tukiimba na kufurahi. Mengine wacha yatupite
 

Huwa naeleweka na JF Genius Members kama Wewe na baadhi hapa ila kwa Wapumbavu ( Majuha ) Waandamizi lazima watanishangaa tu nasimama kwa 100% kwa Mada yangu hii husika tena nikijiamini kabisa.
 
Mkuu umemaliza.
 
Yaani jitu kuuuubwa na pumbu zake linaandika upupu hahaaaaaaaaaa
 
Kwa sasa kila mtu akijisikia kuandika anaandika anavyojua. Hivi Warioba, Malecela, Msuya, Lowasa na Sumaye nao ni wakatoliki?

Nimesema na Kuelezea vyema katika Nafasi za Urais na Umakamu wa Rais na siyo Uwaziri Mkuu kama ulivyoelewa Wewe vibaya kwa Kukurupuka Kwako haraka utadhani Kinyesi cha Uharo.

Idiot.
 
Kwani Jiwe lilienda Vatican?

Nimeelezea vyema tu kuhusu Wao kwenda na kwa uendaji Wao nasikitika kwa Upumbavu wako umeshindwa Kunielewa na umeniuliza Swali la hovyo hovyo.

Waziri Mama Ndalichsko ana Kazi Kubwa mno ya Kuboresha Elimu ya Tanzania ili iweze ama Kupunguza au kuondoa kabisa Wapuuzi ( Mahayawani ) wa mfano wako.
 
Hizi Nyuzi za vipindi vya sikukuu ambavyo huangukia mwisho wa mwezi huwa zinanifurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ... hasa kwa mimi mwenye uzoefu wa akili za walevi na wale wenye uraibu wa mihadarati huwa nainjoi sana

Yani huyu mwandishi alikua steam za kutosha halafu akajipa uintelijensia kwa kuchambua hisia zake na kujiaminisha moja kwa moja kwamba Tanzania haijawahi kuongozwa na Raisi na Makamu wake kwa pamoja wakiwa ni waumi wa dini tofauti na ukatoliki

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa baada kuchambua hisia zake bwana huyu ndio akatuijia na uchambuzi yakinifu kabisa wa mwaswala ya Uraisi wa Tanzania na Jumuia ya Ukatoliki Duniani

Kwakweli mimi niongoni mwa watu wanao subiriaga vipindi hivi vya sikukuu hasa Pasaka inayoangukia mwisho wa mwezi

Jaribu na wewe kufuatilia utagundua
 

Wapuuzi wengi hapa hawatokuelewa.
 
Mkuu kanisa lina sura nyingi sana sana

Hao watu wanatumia gharama Kubwa sana kusomesha watu na hata kuwatisha kwa misaada

Ahaaa tatizo hamsomi

Unajua kwanini Vatican ni nchi ndani ya Italia?

Unasumbuka na Wapuuzi wengi Ndugu.
 
Rais Mwinyi..makamu wake Anglican Malecela

Rais Kikwete makamu wake Dr Shein ..wote waislam
Rais Kikwete makamu wake Gharib Bilali
Wote waislam..


Sibishi nguvu ya Kanisa Katholiki
Ila sometimes tunawapa nguvu zaidi Kwa
Kueneza uzushi kama hivi
I conquer with you
 
Kama unasema hauwezi kuwa Rais au Makam was Rais bila kuwa mkatholic, hapo hapo unasema wa dini nyingine inabidi waende Vatican kujitambulisha....hauoni unajichanganya?

Kujitambulisha Vatican ndio kuwa mkatolik???

Mzee Mwinyi na hata Kikwete kwa Nyakati zao tofauti Walijisalimisha huko na hsta Ujumbe Maalum wa Papa kutoka Vatican ulitumwa Tanzania tena Ikulu kuja kuwaweka sawa na Kukubaliana.
 
Ni kweli nimelisikia kitambo hili lakini ..hata Congo DRC Kanisa Katoliki lina nguvu sana kupanga safu za viongozi wake

Wenye Akili na Wafuatiliaji wa Masuala Mtambuka kama Wewe ndiyo mtanielewa vyema Generalist Mimi ila kwa wale Wapuuzi kamwe hawatoweza Kunielewa kabisa.
 
Catholic hawana nguvu yoyote ndio maana Ulaya imetapakaa kwenye vinchi masikini vya Eastern Europe,Africa na Latinos....nchi zote zenye nguvu Ulaya sio Catholics

Ningeshangaa sana kama Mlutheri, Muanglikana na Watu wa TAG wangeupenda huu Uzi wangu ambao umepiga pale pale na sasa mnaweweseka tu huku mkiwa mmenuna ( mmefura ) kabisa. Poleni ila Sindano najua imewaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…