Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,410
- 114,823
Sikuifuata hiyo fursa humu mkuu wangu.Wahi fursa hiyo Mkuu πππ
Mbea na kuhusu kupigwa ban sio shida zake ππππ
wifi yangu ni mmbeya dunia nzima sijawahi ona, tchaaah'...!π
Ila jirani unafaa sana kwenye kampeni, kama unalo tenge la kijani nicheki ukaseme mitano tena πSema bi dada mkali sana, hakuna anayemfikia hapa JF ndiomana wanaume wanajigonga..!!
Mtoto udongo wa Dubai mweupe peeh.. usiku haina haja ya kuwasha taa.. πΉπΉ
πΉπΉπΉ Wifiπππ
wifi yangu ni mmbeya dunia nzima sijawahi ona, tchaaah'...!π
kashajizoelezea zake mwenzio,yeye na ban wana upendo wa agape..πMbea na kuhusu kupigwa ban sio shida zake π
πππΉπΉπΉ Wifi
Acheni usumbufu pm mrembo analamika, kwani lazima wote muwe na mademu weupe πΉπΉπΉIla jirani unafaa sana kwenye kampeni, kama unalo tenge la kijani nicheki ukaseme mitano tena π
Mtoto ana urangi wa dubei kwanini tusijazane huko pm? Jaribu kuvaa viatu vyetu uone kama ungelikuwa wewe kama ungeweza kuvumilia jirani πAcheni usumbufu pm mrembo analamika, kwani lazima wote muwe na mademu weupe πΉπΉπΉ
Eeh hayaKabadili aidii anaijiita sijui switi kendi...
πππWewe na yuniki flawa utofauti ni majina tu, ila uelekeo wa dish ni ule ule...
Huyu sio member wa JF huyu amatoka FESIBUKUπView attachment 3343650
Kwanini Umepigia Picha Maliwatoni?
lamomy una nini lakini weweππ€£Halafu maka mbona huu mzigo km unaukwepa mshkaji wangu? πΉπΉπΉ
Yani chuma kikali km hiko kweli kilale peke yake na wewe upo? π€£
Tulia ww, alikanwa yesu, we nani usikanwe..π€£ππΉπΉ Yani sikutegemea mahi wangu km atanikana mara tatu..!!
Kuwa na big nyash haina uhusiano wowote na umalaya.Mi si malaya