Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nimefuatilia story yako toka mwanzo kuna elimu kubwa hapa hasa kuhusu viumbe wengine ambao binadamu tunawachukulia poa lakini maisha yetu mengi yanaathiriwa na viumbe hivyo either in positive way or negative way.
Kwa ufupi nikuwa:-
1. Majini wapo wazuri na wabaya kama walivyo binadamu ila ulimwengu wao hauonekani kwa macho ya kawaida.
2. Majini wema wanaweza kutoa misaada kwa mtu hasa aliyekumbwa na majini wachafu hii kwa wasomaji wa ruqya wanalijua sana
3. Qur an ina nguvu kubwa sana isiyomithilika ila wengi katika waislamu wanaichukulia poa.
Mwisho nina maswali ndugu la kwanza embu muulize Arsis anayajua majina ya BARHATIYAH na je ni katika shirki ?
Swali la pili, Muulize Je ni kweli mafuta ya miski yanawaumiza majini wabaya?
Corazon Espinado nasubiri majibu hapa mkuu Arsis ana mtazamo gani juu ya majina ya BARHATIYAH na mafuta ya miski
 
Masufi watakupotezea muda tu

Kwanini, mbona masufi wako poa sana.

Sema kuna vikundi vya kisufi, mimi sivielewi elewi, Inabidi niviulizie sana. Isipokua vingine navielewa sana.

Niliwahi kumuuliza babu yangu, yeye Wa tarika ipi? Akacheka sana, akanambia, bwana mkubwa, mimi tariqa zote, mradi wansema La ilaha ila Allah, mimi nipo nao.
Sema babu yangu nae alikua ni mtu wa uradi sana, kuna nyiradi nyingi kanifundisha lakini fupi fupi sana. sema za muda mrefu. Nakumbuka alikua anasema usiewe na haraka unapotaka haja yako kwa Mungu, mrasi usichoke kumtukuza na kumtaja.

Nikamwambia mbona mamkuu, yaani binti yake, ana tasbihi kubwa boksi zima. Huyo mamkuu ni mazowea tu kumwita ma mkuu, lakini ni shangazi yangu, baba mmoja mma mmoja na babangu. Mie toaka mdogo naona kila mtu anamwita mamkuu. Nikajua ukubwani, walikua wa kike wengi upande wao na yeye ndio dada yao kina babu yangu na wapo wengi kweli, babake alijua kuzaa, wapo jumla 28 kwa wake wanne, huyo mamkuu ndio wa kwanza kuzaliwa katika matumbo yote manne.

Ndugu zake wa kike nao wamezaa sana, basi watoto wote wanamwita mamkuu, mpaka majirani. Ukienda Usagara tanga, mpaka leo ukiuliza kwa mamkuu wapi utaoneshwa, ndio bado nyumba ya marehemu babu ipo hapo. Mamkuu alikuaAlikua ananipenda sana mimi, mwenyewe alikua utotoni namsikia akisema, huyu msimpeke kulelewa kwa mama zake, huko watamfundisha uchawi na wanga waoi wale. Nilikua sielewi ana maanisha nini, siku hizi nafahamu, mawifi hua picha haziendi. Alikua poa sana lakini, nimekula sana shilingi shilingi zake. Mqwnywei Mungu amehemu.

Huwa tunamtania babu, tunamuuliza tasbihi la dadako umelirithi wewe nini? Anasema wamerithi wanawe, wanaligombania hilo utafikiri la dhahabu, kumbe hawajui nimetengenezea mimi, sema ile nimeichonga kwa kiini cha mizizi ya misandali, haiozi na inanukia mpoaka leo. Nakumbuka kweli boksi lake la mamkuu la tasnihi lilikua linanukia, nikijua analitia mafuta mazuri kumbe ni msandali. Kwa watu wa Tanga misandali wanaijua inavyonukia, ipo kwa baba yangu shamba, marufuku kabisa kuikata, hio, toka mwenyewe yupo hai. Anasema msiikate hii, ina wenyewe. Sijawaju mpaka leo hao wenyewe, ipo mitatu mikubwa sana.
 
Nitamuulizia kuhusu miski, nikumbushe kama sijakupajibu jibu. mambo mengi. lakini hio ya barahatia naijua, nadhani nimekujibu juu huko, lakini nayo nitaiuliza tena .
Sawa, Hii ya BARHATIYAH sijaona nisaidie post # ngapi umeijibu.?
Alafu muulize na kuhusu kitabu cha Emrald.
Natanguliza shukurani Corazon Espinado
 
Kwanini, mbona masufi wako poa sana.

Sema kuna vikundi vya kisufi, mimi xivielewi elewi, Inabidi niviuliziee sana. Isipokua vingine navielewa sana.

Niliwahi kumuuliza babu yangu, yeye Wareika ipi? Akacheka sana, akanambia, bwana mkubwa, mimi tariqa zote, mradi wansema La ilaha ila Allah, mimmi nipo nao.
Sema babu yangu nae alikua ni mtu wa uradi sana, kuna nyiradi nyingi kanifundisha lakini fupi fupi sana. sema za muda mrefu. Nakumbuka alikua anasema usiewe na haraka unapotaka haja yako kwa Mungu, mrasi usichoke kumtukuza na kumtaja.

Nikamwambia mbona mamkuu, yaani binti yake, ana tasbihi kubwa boksi zima. Huyo mamkuu ni mazowea tu kumwita ma mkuu, lakini ni shangazi yangu, baba mmoja mma mmoja na babangu. Mie toaka mdogo naona kila mtu anamwita mamkuu. Nikajua ukubwani, walikua wa kike wengi upande wao na yeye ndio dada yao kina babu yangu na wapo wengi kweli, babake alijua kuzaa, wapo jumla 28 kwa wake wanne, huyo mamkuu ndio wa kwanza kuzaliwa katika matumbo yote manne.

Ndugu zake wa kike nao wamezaa sana, basi watoto wote wanamwita mamkuu, mpaka majirani. Ukienda Usagara tanga, mpaka leo ukiuliza kwa mamkuu wapi utaoneshwa, ndio bado nyumba ya marehemu babu ipo hapo. Mamkuu alikuaAlikua ananipenda sana mimi, mwenyewe alikua utotoni namsikia akisema, huyu msimpeke kulelewa kwa mama zake, huko watamfundisha uchawi na wanga waoi wale. Nilikua sielewi ana maanisha nini, siku hizi nafahamu, mawifi hua picha haziendi. Alikua poa sana lakini, nimekula sana shilingi shilingi zake. Mqwnywei Mungu amehemu.

Huwa tunamtania babu, tunamuuliza tasbihi la dadako umelirithi wewe nini? Anasema wamerithi wanawe, wanaligombania hilo utafikiri la dhahabu, kumbe hawajui nimetengenezea mimi, sema ile nimeichonga kwa kiini cha mizizi ya misandali, haiozi na inanukia mpoaka leo. Nakumbuka kweli boksi lake la mamkuu la tasnihi lilikua linanukia, nikijua analitia mafuta mazuri kumbe ni msandali. Kwa watu wa Tanga misandali wanaijua inavyonukia, ipo kwa baba yangu shamba, marufuku kabisa kuikata, hio, toka mwenyewe yupo hai. Anasema msiikate hii, ina wenyewe. Sijawaju mpaka leo hao wenyewe, ipo mitatu mikubwa sana.
Kasome kitabu cha imamulbayhaqi kinaitwa manaqibu shafii utaona imam shafii alivowaelezea masufi na kuwaita kuwa hawana akili
 
Back
Top Bottom