Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

Siyo Cancelling mkuu inaitwa Counselling au Counseling inategemea unatumia ki english cha wapi kati ya kwa Obama na kwa Malkia
 
Kwahiyo sahiz mtu akikugusa tu unalowa tepetepe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninakuombea utulivu ktk Jina la Yesu, iyo ngv ya kipepo inayoendesha ufahamu wako ninaiharibu sasa HV kwa mamlaka ya Jina la Yesu Kristo.
Ebu tuliza sasa fahamu zako acha kutafakari hayo kwan ndipo unafungua mlango Wa kipepo.
MTAFAKARI MUNGU JINSI ALIVYOKUUMBA
 
Pole sana mwaya... Muelezee M/Mungu tatizo lako hakika atakusikia na atakusaidia pia. Ubarikiwe
 
hii lazima itakuwa story, au ndo multiple id
 
Attachments

  • Screenshot (21).png
    Screenshot (21).png
    16.2 KB · Views: 26
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani

hilo sio pepo,we niPM tuyajenge maana na mm nina tatizo kama lako yaani natamani hata mwanamke aniangalie.

Dah dodo kwenye mwarobaini
 
si wewe kuna roho nyuma yako inayokutumikisha maombi pekee yatakunusuru na hali izidio ya matamanio ulonayo kwa sasa

mkuu mbona unamshauri hivyo,utatupeperushia ndege wetu.
 
In PM ili niweze kukupa ushauri mzuri Mkuu. Wewe utakuwa wa kumi kati ya wadada niliyowasaidia tatizo kama lako.

Kila siku wamekuwa wakipiga simu wanipe shukurani.

Tafadhali Usipuuze Mkuu.
 
Usipoangalia utajikuta unaingia kwenye matatizo makubwa sana...Give yourself a break. Hakuna mahusiano mabaya kama yakuingia kwa kukurupuka.
Daah Heart bhana,ukisema hivyo utaturushia njiwa huyu,maana mimi tayari nimeweka mtego,akiingia tu nakula nyama ya kuchoma,sasa wewe usiendelee kumshitua mamii.
 
Daah Heart bhana,ukisema hivyo utaturushia njiwa huyu,maana mimi tayari nimeweka mtego,akiingia tu nakula nyama ya kuchoma,sasa wewe usiendelee kumshitua mamii.
Hahahaaa ...dhambi nyeeee! Hebu muache mtoto wa watu,mtamtia mimba kisha mumuache single mother.
 
Habari wana JF,

Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.

Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.

Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani

Natanguliza shukrani
ntakupa dawa usijali. wewe vumilia nakuja PM saivi. hakika hutatamani tena
 
Back
Top Bottom