Mvuvi_papa
Senior Member
- Oct 25, 2012
- 142
- 67
Siyo Cancelling mkuu inaitwa Counselling au Counseling inategemea unatumia ki english cha wapi kati ya kwa Obama na kwa Malkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeeleweka mkuu. Shida ni kwamba neno "cancel" and "counsel" yaana maana tofauti, ila nilikupata.[emoji106]Wataalam wa psychologia ndio wanaweza kumsaidia
Umeeleweka mkuu. Shida ni kwamba neno "cancel" and "counsel" yaana maana tofauti, ila nilikupata.[emoji106]
Ndio lilikuwa lengonimesharekebisha labda hujaona Mkuu
Habari wana JF,
Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi.
Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda, tatizo langu sasa kiukweli namiss mapenzi mbaya, saizi nimekuwa navutiwa na wanaume ovyoovyo yani natamani hata anishike mkono tu.
Nisaidieni mwenzenu nifanyaje niepuke na hili pepo jamani
Natanguliza shukrani
si wewe kuna roho nyuma yako inayokutumikisha maombi pekee yatakunusuru na hali izidio ya matamanio ulonayo kwa sasa
wewe ndo tulishikana mkono juni nini? maana kuna mdada nilishakana mkono naye kiajabu ajabu sana.
Daah Heart bhana,ukisema hivyo utaturushia njiwa huyu,maana mimi tayari nimeweka mtego,akiingia tu nakula nyama ya kuchoma,sasa wewe usiendelee kumshitua mamii.Usipoangalia utajikuta unaingia kwenye matatizo makubwa sana...Give yourself a break. Hakuna mahusiano mabaya kama yakuingia kwa kukurupuka.
Daah Vale bhana usinirushie njiwa huyu,maana mtego wangu utamnasa hivi punde,kwa hiyo usimuamshe tafadhali.Kua makini ndugu yangu, usijejuta mbele
Hahahaaa ...dhambi nyeeee! Hebu muache mtoto wa watu,mtamtia mimba kisha mumuache single mother.Daah Heart bhana,ukisema hivyo utaturushia njiwa huyu,maana mimi tayari nimeweka mtego,akiingia tu nakula nyama ya kuchoma,sasa wewe usiendelee kumshitua mamii.
Rafiki upo! Sijakuona mudaDaah Vale bhana usinirushie njiwa huyu,maana mtego wangu utamnasa hivi punde,kwa hiyo usimuamshe tafadhali.
ntakupa dawa usijali. wewe vumilia nakuja PM saivi. hakika hutatamani tenaHabari wana JF,