Ulivoanza nikajua kdogo una experience kdogo na pancreatic cancer ila ulivomalizia ndo ukauwa kila kitu nikaona ni zero!! Huwez ata siku moja kumwambia mgonjwa tangulia kwa amani wkt ww mwenyw huijui kesho yako.Acheni kumdanganya!!! Pancreatic cancer stage 4 has no treatment. Only he supposed to palliative care including psychosocial support.
Duniani wote tunapita!!! Tangulia kamanda na sisi tutakufuata, tuandalie makazi yetu huko.
Inauma sana hii!!! Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu.
Wakati mwingine huwa nawaza ni nani alianzisha maradhi yote haya makali.
Pole sana Ndugu!Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo. Anayejua siku yako au yangu au ya huyo alikuambia ni mmoja tu naye ndie Mungu. Fanya ibada kama utakuwa Muda mfupi ujao. Nafanya yako ya Duniani kama unaishi milele.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)
Kwa hiyo miezi minne ijayo nitaweza kuona kile marehemu wanachoona sijui kufa kunaumaje?
Juzi nimepita kando ya makaburi nikaishia kutabasamu tu nilipogundua next 4 month nitafukiwa chini alafu watu watawanyike waniache pale nikiwa shimoni mwenyewe, upweke utakuwa mkubwa mno.
Nikiwa kijana kindakindaki wa miaka 28 tu nafukiwa ardhini. Masikitiko.
Pia soma > Atakayenisaidia hili nitampa Tsh milioni moja taslimu
Bye bye Mother earth.
Ndo kilichobakia mkuuKuna watu mna roho mbaya jamani khaa!!
Hapo kwenye kujiandaa huwa pagumu maana tunasema muda bado ndio hivyo tenaeh mungu ni wetu sote na kufa ni lazima tujiandae tu
Hiyo ipo sana ndugu yangu. Cancer stage 4 kuchomoa is next to impossible , na competent Doctors wanajua kukadiria muda uliobaki baada ya kuangalia vitu vingi sana. Kwa kawaida cancer zote zina suppress sana immunity system hivyo mwili unakuwa dhaifu sana na rahisi kushambuliwa na magonjwa mengine. Mchanganyiko wa mambo yote haya ndiyo hutoa mwanga kwa Daktari. Mwaka 2001 nilikuwa namuuguza mama mkwe wangu na baada ya kulazwa hospitali kwa muda Daktari alinijulisha kuwa mgonjwa wako hatoishi Zaidi ya siku 7 tokeo leo. Na kweli siku ya 6 she passed awayHapa ndo hua nasema wanadamu wengi hatuna iman kua tunamfananisha Mungu na kiumbe kwa wanao amini uwepo wa Mungu
Sijawai sikia katika maisha yangu kiumbe akamtabiria kiumbe kifo na kikatokea hata wachawi wanatamka lakini hawana uakika na kauli zao
Kifo kipo na akikwepeki na mpangaji ni Mungu sio daktari Mungu akutie nguvu,ila jitahidi kuishi bila madeni na chuki na watu.
Malisa Nabii keshakufa?oya wacha kumhadaa mweenzio wewe ............
ati aende kwenye upuuzi huo hao waombeaji wenyewe wanakufa kama yule sijui malisa sijui nani alijifanya anapaa na akaanguja kama tunda lisilozaa na kufa kufa ni lazima iliwengine nao wazaliwe
a
naHapo kwenye kujiandaa huwa pagumu maana tunasema muda bado ndio hivyo tena
Malisa Nabii keshakufa?
KASEMA WAFARIJI,WHATS WRONG WITH YOU?Wamewah kukufir* mkuu
Kitu cha thamani ambacho unaweza kufanya mda huu ni kuhakikisha kwanza, Unamwamini Yesu Kristo, kwamba alikufa, akazikwa, na siku ya tatu akafufuka, akachukua dhambi zetu, na udhaifu wetu wote.Ripoti ya daktari inasema baada ya miezi 4 nitakufa kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4.)