Nimeambiwa nitafariki baada ya miezi 4 kutokana na kansa ya kongosho (pancreatic cancer stage 4)

Status
Not open for further replies.
Sasa kwa nini unaogopa mkuu ni heri kwa vile amekwambia Dk ukweli kuliko kukuficha ukatumia pesa nyingi harafu hakuna mafanikio bora hilo mkuu
 
Mkuu huwezi kufa hiyo miezi aliyokuambia daktari bado tuko pamoja Sana MUNGU ndio anajua tutakufa lini tuko pamoja saaaana
 
Asante ndugu, Jana nimelia sana kwani nimemkosea nini Mungu Mimi.
Pole sana, usikate tamaa kwani kukata tamaa ni dhambi kubwa, muelekee mola wako bila kuchoka ili akupe matokeo.
 
Pole sana nimepata na huzuni sana kama imani ya kikristo ni muda wa kumpokea yesu.Mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu.
 
Am very sorry for you brother ,Mungu akupiganie nimepatwa na huzuni sana lakini mwamini Mungu anaweza kukuponya [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Mungu aliye hai ajidhihirishe sasa..katika Jina la Yesu utapona na kila mtu ashangae humu
 
Anaweza akafa daktari aliyekuambia hata kabla ya wewe

Kati ya vitu ambavyo hakuna binadamu anayejua kitatokea lini ni kifo

Kila nafsi itaonja umauti walikufa mitume na manabii waliokuwa wanaongea na mungu itakua sisi

Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu
 
Mkuu mwaka 2013 ulivoandika uzi wako mie pia nilikuwa nasumbuliwa na tatizo kubwa sana kuna madaktar wa herbal wa kichina walinitabiria muda mchache wa kuishi ila leo miaka 5 Napambana wao walishaacha hata kunitumia email wanajua nimekufa pengine ila bado nipo dont give up
 
Kama ni mtu mwenye imani juu ya uwepo wa Mungu basi bila shaka una nafasi adhimu ya kuweka sawa mahusiano yako na Muumba katika kipindi hiki.
 
Niliambiwa nikipatiwa good medication naweza kuishi hadi miezi nane. Lakini matibabu ni gharama kubwa na sihitaji msaada niko Kwenye critical stage na napata maumivu makali sana. Nahisi ni vema nife nipumzike.
Mkuu naombe ureply meseji hii after 4 months
 
Kifo ni sayansi sababu za kifo ndio hakuna anayejua kama ni ajali au utaumwa. Ila ukiwa kwenye condition ya kufa hakuna Siri hapo. Mtu aliyehukumiwa kunyongwa wiki ijayo jumatano saa nne, ndugu zake huitwa kabisa wamuage na huitiwa viongozi wa dini atubu maana tayari kifo hakikwepeki.
 
Aende kwa TB joshua?? We ndio unampoteza kabisa mi nilidhani unamwambia amfate yesu
 
Unamjua steven hopkins? Alipokua na miaka 23 aliambiwa atakufa baada ya miez 2 na ugonjwa wake ule.ila kafa juz kat hapo na miaka 70s nadhan....so fuc.k those who told u that,...God will decide at his own time
 
Pole sana, haupaswi kuogopa kufa. Ila nakupa dawa nzuri ambayo ukiitumia utaishi na ugonjwa wako utapona kabisa. Acha kula chakula kilichopikwa kabisa. Then ishi kwa kula matunda zaidi. Pili ambayo ndo dawa yako. Chukua stafeli ondoa maganda tu. Na uliblend na mbegu zake kila siku tumia jagi zima la hii juice kila siku mpaka utakapopata nafuu
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…