Bro... PM yangu ipo wazikaka we shika nilivyokuambia, kichwa kiangalie mnakotoka na miguu mnakokwenda. Nina mambo mengi tu kwa mfano ukitaka namna ya kumkamata mwanga ama mchawi akiingia nyumbani kwako sema tu nikumwagie hapa, dawa za kumvuta mwanamke ama mwanaume akufuate popote ulipo hata kama ni usiku ninazo pia, ila haifanyi kazi kwa mke / mme wa mtu - sina uchoyo na hii elimu maana na mimi nilipewa bure.
Masuala ya kazini pia yako - vyeo, mshahara nk
Duh! Aiseeee.Akikataa kuzikwa eneo A, akang'ang'ania kuzikwa eneo B. Na ninyi ndugu kwa sababu za msingi sana mkaona azikwe eneo A msipate shida sana. Kukwepa hayo mabalaa tumeni ndugu mmoja wa Kiume eneo B akachukue udongo kidogo katika kisado aulete eneo A.
Mkichimba kaburi miminieni udongo mloleta kutoka eneo B, bakisheni kidogo. Jeneza likishawekwa chini kaburini ule muda wa kuweka udongo malizieni na ule mlobakisha.
Muhimu kukumbuka udongo ulioletwa ufike siku moja au zaidi kabla ya maiti kutolewa mortuary. Kwenyw udongo ule kuwe na mawe madogo madogo kadhaa. Chukueni jiwe moja miliweke kwenye gari itakayosafirisha maiti kutoka mortuary mpaka makaburini.
Baada ya shughuli yote kukamilika. Gari lililombeba marehemu lisiende nyumbani kabla halijaoshwa. Lioshwe na mtu/watu baki (wasio ndugu) prefferably kwenye Car Wash za mitaa jirani au mtoni. Yule ndugu aliefuata udongo eneo B asiende kwake moja kwa moja baada ya msiba, wengi hupitia Bar kuzuga zuga walau three hours hivi, ikiwezekana kulipia lodge akaoge huko kwanza itapendeza.
Inafanya kazi kwa anayevutwa akiwa nje ya nchi? Nauliza tu jamani nataka kutesti mitamboandaa mshumaa
andaa sindano
andaa kitambaa cheupe
andaa tunda unalolipeda sana kulila
andaa udi
andaa chumvi ya mawe
ukimaliza kuviandaa ni PM tumalize kazi.
Weka fedha zako kabisa ndiyo uweke mashartiAloo😂 mimi nikifariki watafute pesa wanakojua ila wanipeleke kijijini LUBEHO-MASUMBWE-GEITA
Mishuaa kila Rangi nmeandaaandaa mshumaa
andaa sindano
andaa kitambaa cheupe
andaa tunda unalolipeda sana kulila
andaa udi
andaa chumvi ya mawe
ukimaliza kuviandaa ni PM tumalize kazi.
Namhurumia baba yako kuzaa nyumbu na mpimbavuAisee,kuwa na akiba ya maneno ndugu, MUNGU anakuona na Maneno hayo yaweza kukurudia wewe mwenyewe.
Tuanze na ya madem tutoe nyeg** ndo tutafte za kazi na vyeoLeta hio ya kazi na vyeo
Mbna unaruka ruka mkuu tuanze na ile ya wanawake si ata Paula Kajala Dua tu au yule dawa haiswiii??wakuu sasa chagueni moja kwanza - tukimaliza tunaingia nyingine.
Ya kumteka boss:
Leta majina yake yote matatu
Ulete karatasi yoyote aliyoandika kwa mwandiko wake
kata kipande cha nyuzi ama kibao kidogo hata kwa wembe kwenye kiti chake anachokaa ofisini
mshumaa
Mafuta ya maiti... kumfanya ndondocha wako
Mengine ni siri -- Pm tumalize kazi
Baada ya hii kazi Boss atakuwa anakusalimu kwanza kila akifika asubuhi ofisini.
[emoji23][emoji23][emoji23]ni process ndefu japo ni jambo linalo fanya kazi kwa uhakika endapo likifanywa kwa usahihiMbna unaruka ruka mkuu tuanze na ile ya wanawake si ata Paula Kajala Dua tu au yule dawa haiswiii??
Aliamka akatuambia halafu akarudi kulalaUnaweza ukathibitisha kuwa marehemu alitaka kuwaingiza bonde la Sekenke?
Kiufupi-Kuna taratibu ambazo watu hufanya ili marehemu akubali kuzikwa kule alipokataa pasipo changamoto yoyote.Binadamu anayeishi ana nguvu asikwambie mtuAsikudanganye Mtu popote pale ulipo kuwa kauli za Watu waliokufa namaanisha Marehemu wakizisema huwa hazitimii. Ni kwamba huwa hawatanii kabisa na wayasemayo hutokea na hutimia.
Mwaka jana nilihudhuria Msiba Mmoja ambapo kumbe Marehemu wakati anakata Roho alisema akifa azikwe Dar es Salaam na Ndugu wakampuuza wakamsafirisha wanafika tu Segera wakapata Ajali na wale wale waliolazimisha asafirishwe Wakafa na Msafara ukageuka na kuja Kuzikwa Dar kama ambavyo Marehemu aliagiza.
Mwaka huu Mwezi February kuna Marehemu alisema akifa tu asizikwe Dar es Salaam na akazikwe Kijiini Kwao na Ndugu walipolazimisha Kumzikia Dar es Salaam kwa Kigezo cha Kuokoa Gharama Jeneza lake liligoma Kubebeka ila baada ya muda tu Ndugu walipokubaliana asafirishwe kama alivyoagiza Jeneza lilikuwa jepesi mno Kubebeka na akasafirishwa Kijiini Kwake kwa Maziko.
Leo hii kwa wale Wakazi wa Chang'ombe Temeke nadhani Ajali mbaya iliyotokea Mataa na kusababisha Vifo na Majeruhi mmeisikia.
Ni kwamba Marehemu ambaye ndiyo alikuwa anasafirishwa kwenda Kuzikwa kabla ya kufa kwa Hasira alisema kuna Watu Wawili katika Familia yake akifa hataki waende Kumzika kwani wakati anaumwa na Kalazwa Hospitali walishindwa kwenda Kumuona huku uwezo huo wakiwa nao isipokuwa Dharau na Kupuuza kuliwatawala.
Na katika Ajali hi ya leo ambayo ilikuwa na Msafara wa Gari kadhaa Gari ambayo imegongwa na Kuharibika vibaya ni ya Watu wale wale Walengwa Wawili ambapo wote Wamefariki huku Mmoja Viganja vyake vikikatika.
Hivyo basi baada ya Msiba huu kutokea Msafara wa kumsafirisha Marehemu umeendelea na wale Watu aliowakataa wasimzike nao Wamefariki hivyo Maiti zao zipo Mochwari kwa sasa ukisubiri Msafara ulio Safarini ukirejea ndiyo waanze Kuhangaika nao na Wawazike.
Hata hivyo kuna Mbinu moja nilipewa na Wabobezi wa Kusafirisha Maiti / Marehemu wenye Masharti magumu hasa ya Kusafirishwa kuwa mkianza tu Safari tafuta Jiwe Kubwa / Jiwe Dogo liweke juu ya Jeneza na Marehemu / Mwili hautowasumbueni hadi mnafika. Bado sijaiamini ila kama hapa JamiiForums kuna wenye kuijua zaidi watufafanulie tafadhali.
Jamani tujitahidi mno na sana Kuziheshimu Kauli za mwisho mwisho za Marehemu kwani nimeamini kuwa kwa 85% huwa zinatimia japo kwa 15% zinaweza zisitimie vile vile kama ilivyo kwa Chanjo ya UVIKO-19 ambapo kwa 15% inaweza isikusaidie na ikakuathiri ila kwa 85% huwa inasaidia Kukukinga.
Kuna watu ambao wana imani,kiasi akim-command marehemu hutulia.Kabisa!
Niliona Live kipindi fulani marehemu alichotaka hakikusikilizwa ikawa balaa.Double coaster mpya ikafa engine njianiTukakokotwa na roli mpk kufika maiti ishaoza.Pale church anaombewa likatokea balaa gani sijui.
Mda wa kuzika jamaa wanashusha jeneza taratibu kamba ikakatika likaanguka ndani paaa.Ikabidi niwashtue marehemu kakasirika hataki kuzikwa hapa tieni udongo tutimke haraka sana.
Naona umerithi mikoba ya mshanawakuu sasa chagueni moja kwanza - tukimaliza tunaingia nyingine.
Ya kumteka boss:
Leta majina yake yote matatu
Ulete karatasi yoyote aliyoandika kwa mwandiko wake
kata kipande cha nyuzi ama kibao kidogo hata kwa wembe kwenye kiti chake anachokaa ofisini
mshumaa
Mafuta ya maiti... kumfanya ndondocha wako
Mengine ni siri -- Pm tumalize kazi
Baada ya hii kazi Boss atakuwa anakusalimu kwanza kila akifika asubuhi ofisini.
mkuu tumwagia mchele basi nasi tutafunekaka we shika nilivyokuambia, kichwa kiangalie mnakotoka na miguu mnakokwenda. Nina mambo mengi tu kwa mfano ukitaka namna ya kumkamata mwanga ama mchawi akiingia nyumbani kwako sema tu nikumwagie hapa, dawa za kumvuta mwanamke ama mwanaume akufuate popote ulipo hata kama ni usiku ninazo pia, ila haifanyi kazi kwa mke / mme wa mtu - sina uchoyo na hii elimu maana na mimi nilipewa bure.
Masuala ya kazini pia yako - vyeo, mshahara nk
Aya mwaga vitu sasa lazima tuwanyooshe Hawa pisi[emoji23][emoji23][emoji23]ni process ndefu japo ni jambo linalo fanya kazi kwa uhakika endapo likifanywa kwa usahihi
Duh,mitihani sanaAkikataa kuzikwa eneo A, akang'ang'ania kuzikwa eneo B. Na ninyi ndugu kwa sababu za msingi sana mkaona azikwe eneo A msipate shida sana. Kukwepa hayo mabalaa tumeni ndugu mmoja wa Kiume eneo B akachukue udongo kidogo katika kisado aulete eneo A.
Mkichimba kaburi miminieni udongo mloleta kutoka eneo B, bakisheni kidogo. Jeneza likishawekwa chini kaburini ule muda wa kuweka udongo malizieni na ule mlobakisha.
Muhimu kukumbuka udongo ulioletwa ufike siku moja au zaidi kabla ya maiti kutolewa mortuary. Kwenyw udongo ule kuwe na mawe madogo madogo kadhaa. Chukueni jiwe moja miliweke kwenye gari itakayosafirisha maiti kutoka mortuary mpaka makaburini.
Baada ya shughuli yote kukamilika. Gari lililombeba marehemu lisiende nyumbani kabla halijaoshwa. Lioshwe na mtu/watu baki (wasio ndugu) prefferably kwenye Car Wash za mitaa jirani au mtoni. Yule ndugu aliefuata udongo eneo B asiende kwake moja kwa moja baada ya msiba, wengi hupitia Bar kuzuga zuga walau three hours hivi, ikiwezekana kulipia lodge akaoge huko kwanza itapendeza.